The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Mkuu!...... continued
Hii ya stipendium hungaricum scholarships bana niliandaa fresh sanaa documents na motivational letter safi kupita maelezo mpaka leo nimeziprint izi motivational letter nimebandika tu geto...sasa kweny hii scholarship bana nltaman course ya vehicle engineering chuo kilikua n debrecen na sczechen istivan university..lakin kabla ya kukurupuka hii unatuma maomb wizaran then wao ndo wanakuchagua ko nkasema kwasabab na namb zao wameweka ngoja niwachek ao wa wizara ya elimu ambaye ndo sending partner nikamtumia sms kibao kumuomba n course gan wanahitaj kwa mwaka huu ili niziombe izo izo kozi nisitoke nje yao kumbe skuwazaga kuna mamb ya kujuana hahaha yule jamaa naishia kuona status zake na dp yake na kunibluutik tu ad leoo ko nikatuma maomb yangu ila mwez wa tatu nkatumiwa na sms kweny email we regret to say that your sending partner wangu hajanichagua au kunipitisha na further process ....nikapata kajoto na usingz nikaaachana nayoo....
Nex time ntaelezea ya brunei ,finland na china kwa turkey na Indonesia kwa bachelor wanataka uwe na miaka isizid 21 wakat mm tyr nina 22 October naingia 23....bas bana nikaachana nayo ila ngj nielezeee future plan ata kwa vijana wenzangu tufokas umo......... To be continued..........
Hapa kwa Hungary hakuna kujuana hata kidogo,acha kusema uongo.
Hizo scholarships za Hungary una-apply kozi unayotaka sio wanayotaka wizara,then maombi unatuma chuo ila watu wa wizara wana-recommend tu au kuacha ku-recommend jina lako.
Wewe ulitaka mtu wa wizara akuambie ni kozi gani watapitisha mwaka huu kweli?
Haya mimi ninahafamu watu saba wameenda Hungary mwaka huu,na walikuwa hawajuani na watu wa wizara hadi walipokubaliwa na kupata admission letter ndio wa wizara wakawatafuta tena kwa ajili ya kutaarifiwa tu kuwa wamepata au hawajapata taarifa ya admission zao na scholarships.
Nadhani tukikosa hizo scholarship tujitahidi kuwa wakweli tu sio kubuni mambo.
Wewe hukuwa recommended sio kwa kuwa watu wa wizara hawakujui,ila huenda kuna vitu vilipungua.
Tukubali kukosea mkuu,nakuambia kuna mambo ulikosea lazima.
Wizara wana makosa yao ila mengine tunazidisha kama hili la issues za Hungary,huu ni uongo.
Kuna zile za China,kama huna sifa hata usiombe,ni aibu nchi ku-recommend watu wenye study plan mbovu,kuna mmoja nimeona mwaka huu anahangaika hadi leo kupata chuo,alipotuma study plan nilijua hapati chuo yule.