Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
,..............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuo vyetu vimejaa wengi waliosalia ni Bed-Arts uhitaji ni bed-science! Wasubirie hadi kufikia february 28 kuna walimu wanategemewa kuongezwa ambao waliachwa!
Taarifa zisizo rasmi zinasema wasubiri mwaka wa fedha ujao.
Ikiwa hivyo wahusika si wataanza kazi wakiwa na morale ya chini maana serikali ilishaahidi kuwa ajira zao ni za uhakika?
Wameambiwa wasubiri tarehe 15/3/2013 wote watapangiwa
Ikiwa hivyo wahusika si wataanza kazi wakiwa na morale ya chini maana serikali ilishaahidi kuwa ajira zao ni za uhakika?
wadau inabidi kuwa makini na cozi mnazochagua kusoma vyuoni, unakuta watu zaidi ya elfu 5 wanasoma Bed ECE sasa mtafanya kazi sehemu gani? chekechea au vidudu? je mfumo wa elimu ya awali unajaliwa na serikali? vyuo navyo vianzishe cozi kwa kuangalia soko na si kujaza mikozi mingi isiyo na tija
mmh nashtushwa na tangazo la wizara kuwa huo ndo mwisho wa ajira!!!!!!!
Hilo tangazo umeliona wapi?Kama vip lilete hapa tulione na sio mnaleta habari ambazo hazina evidence.Serikali ilisema itaajiri waalimu 28600 lakini walioajiriwa ni 26500.Kwa hiyo bado kuna waalimu zaidi ya 2000 ambao bado hawajaajiriwa. Hawa wataajiriwa katika awamu ya pili kama ilivyo kuwa mwaka jana.Nadhani mkuu GOOGLE anafanya kazi wizaran kwa hiyo anaweza kutufafanulia vizuri kama kuna mahali nimekosea.
kafungue website ya wizara usome!!!
Not only Bed-Arts, Udom waliopata post ni Bed-Ece tu tena watu 6!!!!!!
nashukuru kwa information!!!!