Wizara ya Elimu: Ajira za wakufunzi 2012

Vyuo vyetu vimejaa wengi waliosalia ni Bed-Arts uhitaji ni bed-science! Wasubirie hadi kufikia february 28 kuna walimu wanategemewa kuongezwa ambao waliachwa!
 
Not only Bed-Arts, Udom waliopata post ni Bed-Ece tu tena watu 6!!!!!!
nashukuru kwa information!!!!
 
Taarifa zisizo rasmi zinasema wasubiri mwaka wa fedha ujao.
 
Naona hilo suala ni sarakasi tupu. Huku wanasema hakuna walimu huku waliohitimu wanapigwa kalenda. Hii haijatulia kabisa
 
Ikiwa hivyo wahusika si wataanza kazi wakiwa na morale ya chini maana serikali ilishaahidi kuwa ajira zao ni za uhakika?

mkuu serikali yenyewe haina fedha hii mpaka imefikia kipindi wanabangaiza
 
wadau inabidi kuwa makini na cozi mnazochagua kusoma vyuoni, unakuta watu zaidi ya elfu 5 wanasoma Bed ECE sasa mtafanya kazi sehemu gani? chekechea au vidudu? je mfumo wa elimu ya awali unajaliwa na serikali? vyuo navyo vianzishe cozi kwa kuangalia soko na si kujaza mikozi mingi isiyo na tija
 
Ikiwa hivyo wahusika si wataanza kazi wakiwa na morale ya chini maana serikali ilishaahidi kuwa ajira zao ni za uhakika?

Tushaanza kutafuta private wasituchoshe sie!!!!!!
 
wadau inabidi kuwa makini na cozi mnazochagua kusoma vyuoni, unakuta watu zaidi ya elfu 5 wanasoma Bed ECE sasa mtafanya kazi sehemu gani? chekechea au vidudu? je mfumo wa elimu ya awali unajaliwa na serikali? vyuo navyo vianzishe cozi kwa kuangalia soko na si kujaza mikozi mingi isiyo na tija

kama kozi hizo hawazihitaji kwanini zinafundishwa?
na idadi ya namba si wenyewe ndo wanaochagua sisi tufanyeje sasa???
 
mmh nashtushwa na tangazo la wizara kuwa huo ndo mwisho wa ajira!!!!!!!

Hilo tangazo umeliona wapi?Kama vip lilete hapa tulione na sio mnaleta habari ambazo hazina evidence.Serikali ilisema itaajiri waalimu 28600 lakini walioajiriwa ni 26500.Kwa hiyo bado kuna waalimu zaidi ya 2000 ambao bado hawajaajiriwa. Hawa wataajiriwa katika awamu ya pili kama ilivyo kuwa mwaka jana.Nadhani mkuu GOOGLE anafanya kazi wizaran kwa hiyo anaweza kutufafanulia vizuri kama kuna mahali nimekosea.
 
Last edited by a moderator:

kafungue website ya wizara usome!!!
 
Hii wzara imechoka kwel uhaba wa walmu lkn walmu hawaajiriw na ata vyuo vya dipl.hela ya field imekosekana mpka sasa duh
 
kafungue website ya wizara usome!!!

Usiwe na wasiwasi niamini mim,utapangiwa tu kituo cha kazi.Nilichokiona kwenye website ni maelezo tu ya ajira kwa wale waliopangiwa na haimaanishi kwamba hamna awamu ya pili.Pia hilo tangazo lilikuwepo mwaka jana lakin bado watu walipangiwa kazi kwa awamu ya pili.Au mwaka jana watu hawakupangiwa mara ya pili?
 
Back
Top Bottom