Wizara ya elimu, BASATA MC pilipili achukuliwe hatua

Wizara ya elimu, BASATA MC pilipili achukuliwe hatua

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
282
Reaction score
561
Binafsi naiheshimu sana sanaa kwani ni ubunifu ambao mtu anajigundua nao kisha anautumia kwa kujitafutia ridhiki huyu mchekeshaji maarufu kama MC pili pili nimemuona kwenye video moja inayozunguka mitandaoni akimuuliza bi harusi amesoma wapi, kisha akajibiwa kwamba amesoma chuo cha usimamizi wa fedha IFM halafu kwa kejeli akasema mtu aliyesomaVETA hawezi kujifananisha na huyu mtu kasomea ufund, ni kwamba hajui kama veta ni mamlaka ya elimu ya ufundi Tanzania iliyo chini ya wizara ama?

Hakuishia hapo alienda kwenye harusi nyingine akasema amesoma tu shule ya maana kwani mtoto aliyesoma sinza mapambano hawezi kuwa na muonekano wa hivi...rai yangu kwako kabla mamlaka husika haijakuchuulia hatua unapojitaftia ridhiki usitoe matamko ya dharau na kebehi kwa taasisi za serikali....kuna vyuo na taasisi nyingi tu za elimu ambazo mamlaka inapingana nazo kwani hazijasajiliwa ungeweza kuzitolea mfano
 
.
800px_COLOURBOX2698257.jpeg
 
Naona alikua anajaribu kutafuta punch ili watu wacheke.
Kwa uzoefu wangu wa humour na komedi naamini kuna watu walicheka.

Kuna niche za stand up comedy ambapo mchekeshaji hua anaijadili audience.
Mfano anauliza "Y'all fine?" Audience inajibu "Yes"

"Young lady over there, are you fine?" "Yes"

"Your gown doesn't say so" ataendelea "That's the gown that Hitler wore when he wanted a disguise, you can not be fine, where did you get it?"
 
Wachekeshaji wengine wanaweza kukuabisha mbele ya wakwe...... Bora kuchukua Mc anae changamsha shughuli na ikaenda vizuri..... Hawa comedian hawana kitu
 
Nasikia pombe kali ukiipiga asubuhi, unajisikia poa tu... sasa ngoja ichanganye!
 
Binafsi naiheshimu sana sanaa kwani ni ubunifu ambao mtu anajigundua nao kisha anautumia kwa kujitafutia ridhiki huyu mchekeshaji maarufu kama MC pili pili nimemuona kwenye video moja inayozunguka mitandaoni akimuuliza bi harusi amesoma wapi, kisha akajibiwa kwamba amesoma chuo cha usimamizi wa fedha IFM halafu kwa kejeli akasema mtu aliyesomaVETA hawezi kujifananisha na huyu mtu kasomea ufund, ni kwamba hajui kama veta ni mamlaka ya elimu ya ufundi Tanzania iliyo chini ya wizara ama? Hakuishia hapo alienda kwenye harusi nyingine akasema amesoma tu shule ya maana kwani mtoto aliyesoma sinza mapambano hawezi kuwa na muonekano wa hivi...rai yangu kwako kabla mamlaka husika haijakuchuulia hatua unapojitaftia ridhiki usitoe matamko ya dharau na kebehi kwa taasisi za serikali....kuna vyuo na taasisi nyingi tu za elimu ambazo mamlaka inapingana nazo kwani hazijasajiliwa ungeweza kuzitolea mfano
Kifupi DHARAU umeruhusu, ila wa kumdharau ndo shida
 
Back
Top Bottom