Wizara ya elimu, BASATA MC pilipili achukuliwe hatua

Wizara ya elimu, BASATA MC pilipili achukuliwe hatua

Simkubali pili2 ila why watu wanashindwa kutofautisha comedy na mambo ya serious. Mtoa uzi we mbele huwezi kaa hata sekunde
 
kwani ameongea uongo kuna tofauti kati ya st kayumba na intanational school acha upotoshaji wewe
Tofauti ni kiingereza tu ambako wengi wakisoma INTERNATIONAL SCHOOL huishia kuwa ma DJ akiwemo MC PILIPILI
 
Hao wa Veta ndy mnawaita kwa ajili ya plumbing kwenye vibanda vyenu, wiring, mosonry, carpenter etc
Na ndio mafundi wa maiki na spika na amplifier nk anazotumia yeye kama MC.li MC BWEGE TU HILO
 
kwani ameongea uongo kuna tofauti kati ya st kayumba na intanational school acha upotoshaji wewe
Hapo penye nyekundu mmmmmm naona mtani wangu mhaya unataka kujitutumua kuonyesha umesoma mashule ya kizungu wakati hata la saba hukumaliza pale shule ya serikali ya msingi ya kyabukoba
 
Na ndio mafundi wa maiki na spika na amplifier nk anazotumia yeye kama MC.li MC BWEGE TU HILO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tabu iko palepale
 
The Vocational Educational and Training Authority (VETA) was established by an Act of Parliament No. 1 of 1994 charged with broad tasks of coordinating, regulating, financing, Promoting and providing vocational education and training in Tanzania. The history of VETA dates back to 1940 when the Apprenticeship Ordinance was enacted to guide training in the industry. The Vocational Training Act of 1974, which established the National Vocational Training Division was replaced by the Vocational Educational and Training Act. of 1994.
Mission: To ensure provision of quality Vocational Education and Training that meets labour market needs, through effective regulation, coordination, financing, and promotion, in collaboration with stakeholders".
Vision: An excellent Vocational Education and Training system that is capable of supporting national social economic development in a global context".
 
Binafsi naiheshimu sana sanaa kwani ni ubunifu ambao mtu anajigundua nao kisha anautumia kwa kujitafutia ridhiki huyu mchekeshaji maarufu kama MC pili pili nimemuona kwenye video moja inayozunguka mitandaoni akimuuliza bi harusi amesoma wapi, kisha akajibiwa kwamba amesoma chuo cha usimamizi wa fedha IFM halafu kwa kejeli akasema mtu aliyesomaVETA hawezi kujifananisha na huyu mtu kasomea ufund, ni kwamba hajui kama veta ni mamlaka ya elimu ya ufundi Tanzania iliyo chini ya wizara ama?

Hakuishia hapo alienda kwenye harusi nyingine akasema amesoma tu shule ya maana kwani mtoto aliyesoma sinza mapambano hawezi kuwa na muonekano wa hivi...rai yangu kwako kabla mamlaka husika haijakuchuulia hatua unapojitaftia ridhiki usitoe matamko ya dharau na kebehi kwa taasisi za serikali....kuna vyuo na taasisi nyingi tu za elimu ambazo mamlaka inapingana nazo kwani hazijasajiliwa ungeweza kuzitolea mfano

MC Pilipili si mchekehaji ni mpuuzi tu, tena ni mtu anayelazimisha watu kucheka hata kama hakuna kicheko. Akamatwe tu na kunyongwa.
 
Vituko vya kwenye sherehe, na vihoja vyake huishia hukohuko kwenye sherehe. Kwani maneno mengi yanayosemwa na MC si ya kweli na wala hayalengi kumchafua mtu yoyote lakini yanalenga kuwaburudisha na kuwafanya maharusi na familia yao, waone ile ni siku yao muhimu na kwa siku ile anakuwa wa muhimu na wa heshima kuliko wote. Ndio maana hukalia viti vya kifalme na kimalkia na kuvikwa mataji. Lakini baada ya hapo taabu na dhiki zinaanza. Mwenye matatizo ni wewe unayeleta mambo ya harusini hapa. Ninyi ndio mnakuwa mnaangalia mikanda ya harusi ya watu wengine baada ya harusi unakuta limtu linasema ona hapa nimependeza, nyambafu harusi ilikuwa yako? hata kama ulialikwa kwenye kamati, mkanda wa harusi waachwe maharusi waangalie siku wanatimiza jubilei ya miaka 50 ya ndoa
 
Binafsi naiheshimu sana sanaa kwani ni ubunifu ambao mtu anajigundua nao kisha anautumia kwa kujitafutia ridhiki huyu mchekeshaji maarufu kama MC pili pili nimemuona kwenye video moja inayozunguka mitandaoni akimuuliza bi harusi amesoma wapi, kisha akajibiwa kwamba amesoma chuo cha usimamizi wa fedha IFM halafu kwa kejeli akasema mtu aliyesomaVETA hawezi kujifananisha na huyu mtu kasomea ufund, ni kwamba hajui kama veta ni mamlaka ya elimu ya ufundi Tanzania iliyo chini ya wizara ama?

Hakuishia hapo alienda kwenye harusi nyingine akasema amesoma tu shule ya maana kwani mtoto aliyesoma sinza mapambano hawezi kuwa na muonekano wa hivi...rai yangu kwako kabla mamlaka husika haijakuchuulia hatua unapojitaftia ridhiki usitoe matamko ya dharau na kebehi kwa taasisi za serikali....kuna vyuo na taasisi nyingi tu za elimu ambazo mamlaka inapingana nazo kwani hazijasajiliwa ungeweza kuzitolea mfano
Ushauri mzuri sana!
Lakini kumbuka MC Pilipili ni "mshereheshaji" (MC) lakini pia ni "mchekeshaji" (comedian). Kwa hiyo anapokuwa jukwaani/ktk shughuli za harusi/function yoyote hujaribu kutumia mazingira ya sehemu/mahala alipo ili kuufurahisha umma ulioko mbele yake.

Hivyo, nafikiri kuwa siyo dharau wala kebehi kwa yale anayoyafanya bali ni namna tu anavyoweza kuyatumia mazingira ili kunogesha sherehe husika. Na kwamba, sidhani kama anakuwa na lengo la kumdhaki mtu au taasisi fulani bali lengo kuu la kufanya hivo ni kufurahisha wanasherehe pekee na si vinginevyo....

Mawazo yangu lakini....
 
MC Pilipili si mchekehaji ni mpuuzi tu, tena ni mtu anayelazimisha watu kucheka hata kama hakuna kicheko. Akamatwe tu na kunyongwa.
Huwezi kumkubari kila mtu kwenye industry/sanaa/kazi au fani yoyote. Mfano, Messi10 na CR7 ktk fani ya mpira wa miguu. Wapo wanaomkubali CR7 lakini hawamkubali Messi10.

Nafikiri umenipata Mkuu...
 
Back
Top Bottom