Wizara ya elimu, BASATA MC pilipili achukuliwe hatua

Umeisema iliyo kweli Mkuu. Na ndivyo ilivyo.
 
mimi ni Mkuu wa Chuo cha VETA na ninakubaliana na maneno ya MC Pilipili
 
Ni makosa na anaweza akashtakiwa kwa kuharibu image ya hiyo taasisi ya serikali.

Duniani kote vyuo vya ufundi vinaheshiwa sana kwa kuwa ndio injini ya engineering industry.

Kwa taarifa yako mhitimu wa hivi vyuo vya VETA wanaajirika kirahisi kuliko mhitimu wa vyuo vyovyote unavyovijua hata kama ni chuo kikuu
 
kuchekesha watu ni kazi ngumu, msameheni tu. Na wewe mleta mada hizo harusi za watu ufuatilia za nini.
 
Sasa mkuu cha kujiuliza ni je huyo pilipili kaja lini hapa Daslama? Ukijua kua nae ni wakuja hawezi kukupa shida
 
Mleta maada ni mpumbavu mkubwa...wivu tu unakusumbua!


The Vocational Educational and Training Authority (VETA) was established by an Act of Parliament No. 1 of 1994 charged with broad tasks of coordinating, regulating, financing, Promoting and providing vocational education and training in Tanzania. The history of VETA dates back to 1940 when the Apprenticeship Ordinance was enacted to guide training in the industry. The Vocational Training Act of 1974, which established the National Vocational Training Division was replaced by the Vocational Educational and Training Act. of 1994.
Mission: To ensure provision of quality Vocational Education and Training that meets labour market needs, through effective regulation, coordination, financing, and promotion, in collaboration with stakeholders".
Vision: An excellent Vocational Education and Training system that is capable of supporting national social economic development in a global context"
 
Huwezi kumkubari kila mtu kwenye industry/sanaa/kazi au fani yoyote. Mfano, Messi10 na CR7 ktk fani ya mpira wa miguu. Wapo wanaomkubali CR7 lakini hawamkubali Messi10.

Nafikiri umenipata Mkuu...


Hapa umechemsha mkuu, yule dogo MC Pilipili hachekeshi hata kidogo, analazimisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…