We upinde yaaani tuweke vitabu vyenu sio vya upindeNdio yanamafunzo mazuri lakini waongeze vitabu vingine vitavyogusia masuala yanayoendelea sasa hivi kama vile mapenzi ya jinsia moja.
Waandishi wenyewe wako wapi siku hizi?Tangu zamani vitabu vya fasihi andishi vinavyotumika ni vilevile si kwenye somo la kiswahili wala English....
Acha bhangi!kama vile mapenzi ya jinsia moja.
Hivyo vitabu vipya vitatoka wapi wakati watu hawaandiki vitabu wanekalia kushabikia mipira ya Yanga ha Simba tu?Ndio yanamafunzo mazuri lakini waongeze vitabu vingine vitavyogusia masuala yanayoendelea sasa hivi kama vile mapenzi ya jinsia moja.
ndio mana nakwambia ni vipya kijanahakuna kipya kitabu kama The Black Hermit kimeandikwa 1962 na Three suitors one husband kimeandikwa 1960.
Shida wanafunzi wengi wanaosoma language unakuta physics na mathe zilishambaka ndo wanaamua kusoma language.Naunga mkono ✋ 1000%
Tatizo wahusika wenyewe sio wapenzi wa hivyo vitu (kusoma) wakishakaa ofsini wanasubiri watoto wa field tu wawanyooshe.
Bado enough watunzi wazuri kuwahi kutokea tz, Elvis Misiba na Ben R. Mtobwa wametuachia vitabu vingi lakini hakuna hata kimoja kilichotumika wakati wa uhai wao na hakuna dalili ya kuvitumia hata baada ya uhai wao😣😣💔❤️🩹