Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe ila lazima tuongelee majanga mengine yanayotukumba kama vile kutekwa kwa watoto na viongozi wa siasa na pia masuala ya kulawiti.Vitabu bado vina manufaa mfano ORODHA na passed like a shadow vinaongelea maudhui ya virusi vya UKIMWI ambalo bado ni janga kwenye taifa letu
Ni sawa but our identity as African must be highlighted."Ocol is no longer in love with the old type"
Tukiachana na hayo fasihi inayotumika mashuleni lazima iendane na content ya dunia ya sasa.
Hahahah wee jamaa banaWakitoa hivyo vitabu waweke vya Yeriko Nyerere?
Hakuna hata mmoja mkuu. Kulikuwa na chama cha waandishi wa vitabu lakini kimejifia. Hapa tunatokaje sasa? Hatutoboi.Hivi kuna hata chama cha waandishi wa fasihi hapa bongo?
Hivi kuna mwandishi wa fasihi hapa Jf?
Ndio 😅Sawa ngoja nitunge story hapa .
Siyo kweliNaunga mkono ✋ 1000%
Tatizo wahusika wenyewe sio wapenzi wa hivyo vitu (kusoma) wakishakaa ofsini wanasubiri watoto wa field tu wawanyooshe.
Bado enough watunzi wazuri kuwahi kutokea tz, Elvis Misiba na Ben R. Mtobwa wametuachia vitabu vingi lakini hakuna hata kimoja kilichotumika wakati wa uhai wao na hakuna dalili ya kuvitumia hata baada ya uhai wao😣😣💔❤️🩹