Wizara ya Elimu iweke vitabu vipya vya fasihi andishi katika shule za Sekondari

Wizara ya Elimu iweke vitabu vipya vya fasihi andishi katika shule za Sekondari

Sawa basi na vitabu vilivyoandikwa na watz vitumike sio kila miaka tunatumia Takadini iliyoandikwa na mzimbabwe hasa kwenye somo la English vitabu vingi hatujaandika sisi.
marifa hayana mipaka kwani watanzania ndio wameandika chand
 
1723815505807.png
 
Pia hata vitabu vilivyoandikwa na Joel Nanauka vinaweza vikafaa.
 
Ikitokea kama wizara itazingatia haya waweke vitabu vitakavyogusia masuala ya teknolojia mnemba yaani AI na athari zake.
 
Kwamba huoni umuhimu wa vijana wetu kufundishwa umuhimu wa kupatiwa elimu ya jinsia!?
 
Kwamba huoni umuhimu wa vijana wetu kufundishwa umuhimu wa kupatiwa elimu ya jinsia!?
Nauona umuhimu wake ila vitabu viongezwe vitakavyo zungumzia ishu zinazoendelea kwenye dunia ya sasa kama AI na pia human trafficking.
 
Waandishi wenyewe wako wapi siku hizi?
Waandishi wapo.
Mzee Richard Mabala kazindua vitabu vyake juzijuzi tu. Alikuwa anaviuza hata kule viwanja vya sabasaba.

Pia, Mwandishi Neheeda Ismael kazindua Pink Bodaboda kama miezi miwili hivi iliyopita.
 
Basi ndo vitumike mashuleni sio tunatumia vitabu vya miaka ya 2000
 
Waandishi wapo.
Mzee Richard Mabala kazindua vitabu vyake juzijuzi tu. Alikuwa anaviuza hata kule viwanja vya sabasaba.

Pia, Mwandishi Neheeda Ismael kazindua Pink Bodaboda kama miezi miwili hivi iliyopita.
Siyo kila mwandishi anaandika vitabu vya fasihi
 
Unaweza kuta mwanafunzi aliyeko kijijini hajui hata AI au hajui hata masuala ya human trafficking so lazima fasihi itumike kuwapa such awareness.
 
" The pumpkin in the old homestead must not be uprooted" Song of Lawino by P. BiteK
 
Back
Top Bottom