Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
marifa hayana mipaka kwani watanzania ndio wameandika chandSawa basi na vitabu vilivyoandikwa na watz vitumike sio kila miaka tunatumia Takadini iliyoandikwa na mzimbabwe hasa kwenye somo la English vitabu vingi hatujaandika sisi.
Hujaona hiyo alama ya kuuliza?Naunga mkono hoja.
mambo hayaendi hivyoHaiwezekani tuandikiwe vitabu vya masomo ya sayansi na hata fasihi ya lugha yetu nayo tuandikiwe.
Waandishi wapo.Waandishi wenyewe wako wapi siku hizi?
Basi ndo vitumike mashuleni sio tunatumia vitabu vya miaka ya 2000Waandishi wapo.
Mzee Richard Mabala kazindua vitabu vyake juzijuzi tu. Alikuwa anaviuza hata kule viwanja vya sabasaba.
Pia, Mwandishi Neheeda Ismael kazindua Pink Bodaboda kama miezi miwili hivi iliyopita.
Siyo kila mwandishi anaandika vitabu vya fasihiWaandishi wapo.
Mzee Richard Mabala kazindua vitabu vyake juzijuzi tu. Alikuwa anaviuza hata kule viwanja vya sabasaba.
Pia, Mwandishi Neheeda Ismael kazindua Pink Bodaboda kama miezi miwili hivi iliyopita.
Hivyo nilivyokutajia ni vya fasihi.Siyo kila mwandishi anaandika vitabu vya fasihi