Pita pembeni na zako ukiona una visenti siyo wote wanazo.
Tulia acha maisha yetu tunayajua wenyewe.
Kwa kutumia walimu gani?
Ni kweli kabisa itasidia sanaa na serikali itapata mapato mengi ,mm sijasoma English medium Nina kingereza sio kibaya sanaa ilaa ilaa nichakuminyana mno na ndo kinapima mambo mengi sahivi hata kwenye usaili Mara nyingi kiingereza kinahusika na sio kiswahili ,
Nikipata hela siwezi mpeleka mwanangu st .kayumba .
Halafu mwalimu aliyesoma kiswahili na kupata division 3 point 25 au division 4 ndiye afundishe watoto kingereza.Habari wadau
Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana.
Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni bora zivunwe na Serikali zijenge nchi. Maana industry ya Private Schools ina mzunguko wa matrilioni kwa mwaka