NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Naendelea kuona jinsi mtaala mbovu unavosababisha janga la ukosefu wa ajira nchini!
Kila mwaka graduates wanalundikana mtaani tena wakiwa wamekata tamaa kabisa hata huko kunakoitwa kujiajiri wanashindwa kwa kukosa mitaji ikumbukwe bado Wana deni la bodi ya mikopo!!unaweza vuta picha ya hali ya unyonge waliyonayo!!
Chakushanganza bado serikali kupitia wizara ya elimu eti wanakuja na kalenda ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mtaala huo huo mbovu usiozalisha ajira hapa kwetu yaani uozo unaboreshewa namna uwe uozo bora. Hadi najiuliza hivi watunga sera ya elimu yetu wamelala? Ina Maana hawapo dynamic kuendana na mahitaji ya nyakati za sasa?
Vuta picha kwamfano: kozi za ualimu hapa nchini zinazalisha walimu kibao kila mwaka na hawaajiriwi sasa kwanini kozi hiyo isifutwe zikaletwa kozi nyingine ambazo zinaweza zalisha ajira nchini wahitimu wakajiajiri?
Kwanini muendelee kuzalisha wahitimu wale wale ambao hawana impact yoyote kwa jamii???ikumbukwe wahitimu hao wanakopeshwa fedha ambazo hawarudishi kwakukosa ajira.
Ifike hatua ya kuangalia mazingira na kuleta kozi ambazo zinaendana na jamii yetu na zile ambazo haziajiri zifutwe kwa muda ili kuokoa jahazi la ajira nchini!
Elimu ya sekondari mtaala iliopo ufutwe uletwe wenye tija ambao utaendana na hali ya mazingira yetu ili uzalishe ajira nchini! Kuwekwa mvinyo uleule kwenye chombo kipya haubadili ladha ya mvinyo!
Inasikitisha Sana kwa hali inavoendelea hapa nchini!!