Wizara ya elimu mchukulieni hatua mwalimu Shabani kwa unyanyapapaa kwa sikieni kilicha binti yangu Ngeruke Kondo

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Dah Mwalimu Shabani hivi wewe na binti yangu mna ugomvi gani usio fika kikomo?
Kuna vitu vingi binti yangu huwa analalamika mfano huwa unamlazimisha kununua ubuyu na visheti vyako.

Binti yangu hata akimaliza kazi zake kwa wakati na kwa usahihi unatafuta sababu zisizo na kichwa wala miguu na kumtembezea bakora za kutosha.

Nakuuliza Mwalimu Shabani kwani binti yangu alikulazimisha uchague fani ya ualimu?
Ualimu ni wito tafadhari stress zako zisisababishe umchukie binti yangu.

Waungwana kuthibitisha haya malalamiko yangu nimeweka picha mjongeo (video) hapa.
 
Labda ungeweka taarifa vizuri ni shule gani na ipo wapi
 
Huyu ana shida ya akilli akapimwe.
Na mods kuacha habari kama hizi ndio hupelekea jf kushuka hadhi
 
Back
Top Bottom