Wizara ya Elimu mfungieni Mwalimu huyu. Anaharibu wanafunzi

Wizara ya Elimu mfungieni Mwalimu huyu. Anaharibu wanafunzi

AbaMukulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
2,053
Reaction score
3,586
Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu ambae anawafundisha wanafunzi kukatika. Matendo haya sio mazuri kwa malezi ya vizazi vyetu.

Wizara ya elimu mchukulieni Mwalimu huyu hatua stahiki.

Sio afungiwe ashauriwe tu awe na kiasi.

Pia historia ya huyo mwalimu ifuatiliwe hasa tabia zake baada ya kazi. Mienendo yake ichunguzwe maana ni nadra sana kijana wa kiume aliye lijari kukata mauno kitaalam namna hiyo.

Tusimhukumu kabla ya uchunguzi.
 
Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu ambae anawafundisha wanafunzi kukatika. Matendo haya sio mazuri kwa malezi ya vizazi vyetu.

Wizara ya elimu mchukulieni Mwalimu huyu hatua stahiki.
View attachment 1542909

Oh my God!! Huyu kiumbe sidhani kama ni wakiume aliyekamilika!!

This is bizarre!! [emoji22]
 
wanafinzi watampenda na kumwelewa kuliko walimu wengine! teaching is an art!
Ndio,hapo labda AAMBIWE APUNGUZE BAADHI YA MBWEMWE,LAKINI KWA ANACHOKIFANYA KINAMPELEKA KUWA KARIBU ZAIDI NA WANAFUNZI NA KUUFUTA ULE UJINGA WA KUSEMA KUWA MWANAFUNZI HATAKIWI KUMZOEA MWALIMU.
 
Back
Top Bottom