ashidodi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 291
- 340
Sasa hapo ukitizama vizuri unaona mwanafunzi aliyenuna hata mmoja? Unajua watoto walikuwa wanafundishwa content gani? unajua shuleni kuna somo la Sanaa? Au Sanaa kwako ni kutengeneza ufagio tu? Unahisi mwalimu huyo kukatika mbele ya watoto huku anatabasamu namna ile Hana akili? Linda na uthamini proffesional za watu