Labda ni mwalimu wa sanaa! Na hiyo huenda ipo kwenye muongoza wa somo lake, chunguza kwanza!!Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu ambae anawafundisha wanafunzi kukatika. Matendo haya sio mazuri kwa malezi ya vizazi vyetu.
Wizara ya elimu mchukulieni Mwalimu huyu hatua stahiki.
Jamaa fundi sana. Kuna watu wana kazi mbili. Mchana ticha usiku dansa!.Lakini huyo ni mwalim kweli?
Amekatika kama juma lokole [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakini huyo ni mwalim kweli?
Amekatika kama juma lokole [emoji1787]
Mkuu hapa nakazia....mauno Kama James deliciousPia historia ya huyo mwalimu ifuatiliwe hasa tabia zake baada ya kazi. Mienendo yake ichunguzwe maana ni nadra sana kijana wa kiume aliye lijari kukata mauno kitaalam namna hiyo.
Tusimhukumu kabla ya uchunguzi.
Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu ambae anawafundisha wanafunzi kukatika. Matendo haya sio mazuri kwa malezi ya vizazi vyetu.
Wizara ya elimu mchukulieni Mwalimu huyu hatua stahiki.
View attachment 1542909
Ndio,hapo labda AAMBIWE APUNGUZE BAADHI YA MBWEMWE,LAKINI KWA ANACHOKIFANYA KINAMPELEKA KUWA KARIBU ZAIDI NA WANAFUNZI NA KUUFUTA ULE UJINGA WA KUSEMA KUWA MWANAFUNZI HATAKIWI KUMZOEA MWALIMU.wanafinzi watampenda na kumwelewa kuliko walimu wengine! teaching is an art!