DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tatizo la msingi ninaloliona kwa TCU ni kufanya ile inatwa, localisation of university education. Wanajaribu kuona elimu ya chuo kikuu katika mazingira ya ndani tu, bila kufikiria kwamba elimu ya chuo kikuu ni kuandaa wahitimu ambao wanaweza kufanya kazi duniani kote. Na pengine kwa style hiyo ni ngumu hata vyuo vya Tanzania kuvutia international students kama ilivyo vyuo vya Afrika kusini, Kenya, Misri, Botswana, Ghana, Nigeria nk nk.

Ukisema kwa program ya Social Projection haina maana, wakati huo huo nchi za ulaya zinakukumbwa na changamoto ya idadi ndogo ya watu walio kwenye umri wa kufanya kazi sijaelewa kabisa akili yake inafikiria nini. Wakati huo huo watu wanafanya kazi miaka 30+ na wanatoka katika hali yao ya umasikini sijaelewa mtu kusema kwamba program kama hiyo haina maana.

Pia tunahitaji kufanya integration ya program zetu ili kumpatia mhitimu uwanda mpana wa kufanya kazi; ndiyo maana siyo shida ya mwalimu pia kuwa mwana saikolojia, mwalimu kuwa na taaluma ya ICT ambayo pia ni nyenzo muhimu katika ujifunzaji. Mwalimu kuwa na taaluma ya Falsafa nk nk. Kwa mfano niulize; Kwenye mtaala wa kidato cha Tano, General Studies kuna topic ya Introduction to Philosophy and Religion. Hivi tulishawahi kujiuliza walimu wanaofundisha GS kama wameandaliwa kufundisha topic hii? Hiyo Philosophy na Religion wameisoma wapi? Au ni ile mnasema mwalimu yeyote wa Historia anaweza kufundisha Maadili?
 
Shida siyo programs shida ni mazingira ya kujifunzia hicho kitu yapo rafiki. Tena kwa ushauri wangu kuna program nying tuu hazina maana ila watu wengi wa nasoma kwa kutokujua tu mfano ile social projection ya ifm .pia kwa mtu ambaye anaelewa philosophy unakuja kufanya nn in futer naomba msaada mm naona huko kama watu wanapoteza ela
Tatizo la msingi ninaloliona kwa TCU ni kufanya ile inatwa, localisation of university education. Wanajaribu kuona elimu ya chuo kikuu katika mazingira ya ndani tu, bila kufikiria kwamba elimu ya chuo kikuu ni kuandaa wahitimu ambao wanaweza kufanya kazi duniani kote. Na pengine kwa style hiyo ni ngumu hata vyuo vya Tanzania kuvutia international students kama ilivyo vyuo vya Afrika kusini, Kenya, Misri, Botswana, Ghana, Nigeria nk nk.

Ukisema kwa program ya Social Projection haina maana, wakati huo huo nchi za ulaya zinakukumbwa na changamoto ya idadi ndogo ya watu walio kwenye umri wa kufanya kazi sijaelewa kabisa akili yake inafikiria nini. Wakati huo huo watu wanafanya kazi miaka 30+ na wanatoka katika hali yao ya umasikini sijaelewa mtu kusema kwamba program kama hiyo haina maana.

Pia tunahitaji kufanya integration ya program zetu ili kumpatia mhitimu uwanda mpana wa kufanya kazi; ndiyo maana siyo shida ya mwalimu pia kuwa mwana saikolojia, mwalimu kuwa na taaluma ya ICT ambayo pia ni nyenzo muhimu katika ujifunzaji. Mwalimu kuwa na taaluma ya Falsafa nk nk. Kwa mfano niulize; Kwenye mtaala wa kidato cha Tano, General Studies kuna topic ya Introduction to Philosophy and Religion. Hivi tulishawahi kujiuliza walimu wanaofundisha GS kama wameandaliwa kufundisha topic hii? Hiyo Philosophy na Religion wameisoma wapi? Au ni ile mnasema mwalimu yeyote wa Historia anaweza kufundisha Maadili?
 
Tatizo la msingi ninaloliona kwa TCU ni kufanya ile inatwa, localisation of university education. Wanajaribu kuona elimu ya chuo kikuu katika mazingira ya ndani tu, bila kufikiria kwamba elimu ya chuo kikuu ni kuandaa wahitimu ambao wanaweza kufanya kazi duniani kote. Na pengine kwa style hiyo ni ngumu hata vyuo vya Tanzania kuvutia international students kama ilivyo vyuo vya Afrika kusini, Kenya, Misri, Botswana, Ghana, Nigeria nk nk.

Ukisema kwa program ya Social Projection haina maana, wakati huo huo nchi za ulaya zinakukumbwa na changamoto ya idadi ndogo ya watu walio kwenye umri wa kufanya kazi sijaelewa kabisa akili yake inafikiria nini. Wakati huo huo watu wanafanya kazi miaka 30+ na wanatoka katika hali yao ya umasikini sijaelewa mtu kusema kwamba program kama hiyo haina maana.

Pia tunahitaji kufanya integration ya program zetu ili kumpatia mhitimu uwanda mpana wa kufanya kazi; ndiyo maana siyo shida ya mwalimu pia kuwa mwana saikolojia, mwalimu kuwa na taaluma ya ICT ambayo pia ni nyenzo muhimu katika ujifunzaji. Mwalimu kuwa na taaluma ya Falsafa nk nk. Kwa mfano niulize; Kwenye mtaala wa kidato cha Tano, General Studies kuna topic ya Introduction to Philosophy and Religion. Hivi tulishawahi kujiuliza walimu wanaofundisha GS kama wameandaliwa kufundisha topic hii? Hiyo Philosophy na Religion wameisoma wapi? Au ni ile mnasema mwalimu yeyote wa Historia anaweza kufundisha
Kwa ulaya ni sawa tulakini kwa tanzania bado .pia ningumu sana kwa serikali kuajiri mtu aliyesomea philosilospy na religion tu ili awe mwalimu wa gs unaweza ukakuta huyu mtu amebobea huku kalina ukimpeleka?kweny mambo ya international relations hamna kitu na hy religion na philosophy ni topic moja tu japokuwa ni swali la lazima lakini uwezakono wakutolifanya na kufaulu upo.mm shida yangu kubwa natamani kuelewa mtu anayesoma bachelor of philosophy anafanya kitu gani baadaye .kuna m1 nilishawai muuliza hilo swahili alibaki kujitetea na kusema kila kitu anaweza fanya (kazi) yey alikuwa ni wa udsm
 
Sasa hivi kwenye mtaala wa elimu kuna somo la Maadili. Walimu wa kufundisha hilo somo la maadili wanatoka wapi? Siyo hao waliosoma Philosophy ambapo ni maadili ni tawi la Philosophy? Au ndiyo ile kusema hata mwalimu wa Historia anaweza kufundisha maadili.

Unapoandaa wataalamu hauwazi tu kwamba waishie katika level za chini. Huko vyuo vya afya wanafundisha bioethics, hao walimu wa kufundisha huko wanatoka wapi kama hatujaweka msingi kutoka kwenye level ya undergraduate? Huko seminari wanafunzi wana Philosophy miaka 3, tena ile pure huko pia wanahitaji walimu. Unafikiri huko hawawezi kufundisha? Mbali na shughuli za kufundisha mtu aliyesoma Philosophy anaweza kufanya kazi zingine za kiutawala ambao hazihitaji specific professionals.

Sasa narudi kwenye hoja ya GS, kwamba wizara imepeleka mtaala na kuweka topic ambazo kwanza wanafikiri hata mwanafunzi akifanya swali hilo anaweza asilipate ndiyo maana hakuna mwalimu aliendaliwa kufundisha mambo hayo. Haya ni maajabu.
 
Mm napenda tuelewane kwenye kitu kimoja private sector imetoa ajira kweli .lakini kumbuka hizo ajira ambazo watu wamepata nikutokana na waajiri wao ambao(wanafunzi) sasa inapokuja kwenye issue ya ubora mtu ametoa pesa yingi kusoma alafu anakuja kupa kitu ambacho akina ubora ni kweli inasikitisha na kuumiza sana. Mfano wew hapo saiv ununue kitu then ukute ni fake lazima utakasirika au akina ubora unao utaka .
#Naomba kurudi kwenye hoja sasa mitaala mipya na kufunga kozi kwa haraka
1.kwanza tcu siyo kwamba amekurupuka tuu nakufunga udali kwa baadhi za kozi kwenye baadhi ya vyuo huwa wanafanya ukaguzi kwanza unaweza kuwa niwatoa taarifa au wa ghafala tu .Napia huwa wakibaini changamoto wanatoa muda wa marekisho
2. Kwenye mitaala mipya huwa kinacho fanyika nikutoa ushauri labda vyuo vikuu vijikite kwenye tafiti sana kama mataifa ya wenzetu wananvyo fanya na kuongeza baadhi ya kozi ilikunenda na dunia ya sasa mfano hizo cyber security and digital forensic.
3.tcu wenyew wanajikita kwenyw mazingira ya mafunzo (tukiangalia kwenye upande wa vyuo vikuu practical ina hitajizaidi kweny kozi nying kuliko theory kwa sababu hao watu hvy vituu wataenda kutenda mfano kwenye afya hospital ni lazima ivi kuanda madaktari bora uwezi tegemea field tuu pia maabara nzuri zina takiwa hata pia kweny engineering )
3.mazingira mazuri yakujifunzi miundo mbinu inatakiwa iwe rafiki kwa watu wote ata kwa wale weny mahitaji special group chuo kikuu akiwez fanana mazingira na shule ya msing .
4.na pia huko nyuma vyuo likuwa vingi tu mfano mt meru, jomo kenyatta ,ETU cha tanga ,teku cha dsm,kibira , kampala , vipo vilivyo fanya marekibisho na vingine vilishindwa na kufutiwa usajili kabs
Kaka mawazo yako mazuri sana na nimeyapenda ila hoja ya Teaching hospital naona haina umuhimu sana maana Vyuo kadhaa havina hata hizo teaching hospital na wamekuwa wakitia hizo Degree za Afya mfano UDSM teaching hospital ipo wapi!? St Joseph je hata hao UDOM wameanza tumia BMH 2019 au 2020 hivi kama Teaching hospital
 
Kwa akili za hawa watu ndiyo maana walifuta somo la kilimo, commerce na bookkeeping kwamba hayana maana.
Kicheko! Wala sishangai. Hali ya kufuta masomo ya msingi ilianza zamani. Lakini sasa tunashuhudia hatua ya kushangaza zaidi: Somo la Uraia (Civics) limefutwa na kuunganishwa katika somo jipya la Historia ya Tanzania na Maadili — mchanganyiko usioeleweka wa taaluma tofauti.

Hili ni kosa kubwa — la kimfumo, kiakili, na kimaadili ya elimu.

1. Historia hufundisha matukio ya zamani.
2. Maadili (Ethics) ni tawi mahsusi la falsafa linalohusu mema, mabaya, utu, haki, na wajibu — halitokani na dini bali ni msingi wa maisha ya kijamii unaokubalika hata kwa wasio na dini. Wao wakisika falsafa wanadhani ni dini.
Uraia humjenga kijana kufahamu haki zake, wajibu wake, na nafasi yake katika taifa.

3. Kuunganisha hivi ni sawa na kuchanganya vitu visivyolingana.

Hatupaswi kamwe kufunza na kufundisha maadili kwa kusimulia historia, wala hatufundishi uraia kwa kuunganisha hadithi na tabia. Maadili yanahitaji muktadha wa falsafa, fikra, na mantiki ya kina.

Matokeo yake: kizazi kisichojua haki zake, kisichoelewa katiba, wala utendaji wa serekari, wala maadili ya kuishi na wengine.

WITO:
Wizara ya Elimu ifungue mjadala wa kitaifa kuhusu mtaala.
Wadau wote wahusishwe.
Turekebishe kabla hatujaharibu.Nendeni Rwanda muone alivyo wekeza nguvu kufundisha maadili na falsafa au nchi za kigeni huko.
 
Kaka mawazo yako mazuri sana na nimeyapenda ila hoja ya Teaching hospital naona haina umuhimu sana maana Vyuo kadhaa havina hata hizo teaching hospital na wamekuwa wakitia hizo Degree za Afya mfano UDSM teaching hospital ipo wapi!? St Joseph je hata hao UDOM wameanza tumia BMH 2019 au 2020 hivi kama Teaching hospital
Achana nae wala hana hoja anajibu kutetea mfumo badala ya kuweka mizani iliyo sawa hoja ya msingi wakubali kuna mahala wamekosea na waombe kutengua mambo waliyo amua kwa haraka haraka bila kushirikisha wadau muhimu. Hawa wancheza na mfumo wa elimu ndo maana watoto wao hawasomi humu.
 
Wew bado ujaelewa .mm nime balance mzani sasa kama hata hizo hospital za mafunzo hamna ndio itazalisa watu walio bora ? Siyo kweli kwa hiyo kuzuia udaili wa kozi kwa mwaka huu lengo lao ni maboresho ya fanyike mwakana vijana waingine vyuo ambavyo vimetosheleza kila kitu .na kama vyuo husika nitashundwa ndio vitazuiwa kwa kutoa hizo kozi kbs sasa hapo lengo la tcu ni baya tena .sema research sija fanya lakini kwa tanzania nahisi chuo kinacho ongoza kupokea wanafunzi wa kigeni ni udsm na dmi .na dmi ni kwa sababu afrika mashariki ni chuo pekee cha ubaharia na kwa afrika nahisi vipo 2 tu
 
Samaha unajibu onbehalf of Serekari au TCU?
Huoni unapoteza ajira za watu kwa maneno yako kwa sababu wewe ushaingia kwenye mfumo rasmi wa umm na unalipwa kwa kodi zotu?

Kama kweli mnahitaji sekta binafsi zikue huon kunahaja ya kua walezi wazuri na sio kukurupuka kuzifungia?

Mwanao akikusoea wewe unamchoma moto? Au unamuelekeza na kumasidia kufikia malengo yake?

UDOM mmefungia hizo program kwa kufuata nini? Je sera ya elimu ni universal au particular?
Mnatengeneza mwalimu wa tanzania tu au ulimwengu mzima?

Kufungia hizo program UDOM na vyuo vingine huoni ni swala ambalo nilaajabu kwa walio zianzinzisha miaka ya nyuma kabla nyinyi hamjaingia ofisini

Nikurudishe kwenye historia ya hii nchi naona ushasahau au mshahara wa umma umekusahaurisha

Unakumbuka wizara iliaha wahi futa baadhi ya masomo msingi (kilimo , biashara , ufundi etc) na sasa wanayarudisha???

Unakumbuka wizara ilishawahi unganisha Physics and Chemistry) baadae wakatengua

Tusiwe welepis wa kukubali kubali vitu let us our cretical thinking analys kuamua na kutenda.

Au mnaugomvi na hizi taasis hamjui zimebeba watu wengi madharani Wizara basi ifahamike mnafanya hujuma mwaka huu wa uchaguzi ili Raisi agombanishwe na Taasisi hizi?)

Kama mnabusara mtatengua maamzi yenu kama hamna basi tambueni mnaingizia shida kwenye mwaka huu wa uchaguzi mnapaswa Raisi awatengue mkae vijiweni mje mlime na sisi ili mjue uchungu wa kazi.
 
Wew bado ujaelewa .mm nime balance mzani sasa kama hata hizo hospital za mafunzo hamna ndio itazalisa watu walio bora ? Siyo kweli kwa hiyo kuzuia udaili wa kozi kwa mwaka huu lengo lao ni maboresho ya fanyike mwakana vijana waingine vyuo ambavyo vimetosheleza kila kitu .na kama vyuo husika nitashundwa ndio vitazuiwa kwa kutoa hizo kozi kbs sasa hapo lengo la tcu ni baya tena .sema research sija fanya lakini kwa tanzania nahisi chuo kinacho ongoza kupokea wanafunzi wa kigeni ni udsm na dmi .na dmi ni kwa sababu afrika mashariki ni chuo pekee cha ubaharia na kwa afrika nahisi vipo 2 tu
Kinapokea wanafunzi wangapi ? Let me tell you a necked truth miongoni mwa nchi ambazo forgners hawapendi kusoma
Kutokana na mifumo yetu ya elimu kua locally ni Tanzania ndo maana wanafunzi weng forgners wako kenya. Tunapoteza a lot of money kwa kuwakosa . Pole sana
 
Hujaelewa hoja za wadau unajibu kwa mihemko rudi huko juu usome kwa utulivu mnasababisha tensio zisizo na tija ninepitia mjadala wote wadau wanahoja na argument msingi maamzi yenu mmekurupuka alafu nikukumbushe watanzania sasa sio wajinga kama mnavyo dhani wasominwengi wako mitaani wanawangalia mnavyo tenda! Inaonekan mnahila fulani na vyuo hivi shauli zenu kwakua hamsikii na vyuo vimebeba kura nyingi za Mama
 
😂😂😂 mbona na mm nipo nyumban sasa
 
Kinapokea wanafunzi wangapi ? Let me tell you a necked truth miongoni mwa nchi ambazo forgners hawapendi kusoma
Kutokana na mifumo yetu ya elimu kua locally ni Tanzania ndo maana wanafunzi weng forgners wako kenya. Tunapoteza a lot of money kwa kuwakosa . Pole sana
kweli ni wa chache sana
 
Back
Top Bottom