Wizara ya Elimu, Taasisi ya Elimu. Mapendekezo yenu ya Rasimu ya mabadiliko ya Mitaala bado yana mapungufu mengi

Kwenye lugha za kimataifa wako sahihi

Serikali inachotaka kufanya ndicho kilichoko shule za kimataifa watoto hufunxwa lugha nyingi za kimataifa toka ngazi ya chini

Wazazi wengi hawana uwezo kupeleka watoto hizo shule ambazo ada kiwango cha chini ni milioni 16 kwa mwaka na watu hupeleka ili watoto wao waandaliwe kimatsifa ukiwemo uwezo wa lugha mbalimbali za kimataifa

Hilo la lugha nyingi libaki hivyo hivyo ili na watoto wa Kawaida wa mtanzania awe level moja na mtoto anayesoma interest school kwa upande wa kumudu lugha nyingi za kimataifa
Hapana, shule gani hizo za "kimataifa"?

Na hizo za "kimataifa" wameona tu lugha, je humo hawakuona vitu vingine kama stadi za maisha, ujasiriamali, moral and ethical values, kilimo, Sanaa, innovation ?
 
Soma kwa kutulia mkuu, yote unayoyasema hapo siyo ya kweli! Lugha za kigeni ni muhimu kwaajili ya biashara na mataifa mengine na watachagua lugha ya kusoma

Kuhusu kujua maeneo ya utalii watayapata kwenye somo lipo hapo la shule za msingi, Kuna mambo ya maadili yatafundishwa, chakusema ni kupongeza hatua na kusubiria utekelezaji angalau kwa 80% itapendeza!

Mkakati ni mzuri na unavutia kwa macho, Sasa utekelezaji wake lazima uwe na weledi na umakini wa hali ya juu.

Soma rasimu ukiwa na mtazamo chanya Mkuu, utashukuru.
 
Mambo mengi yametajwa kwenye historia ya Tz na maadili....pale ndo pana kila kitu..hzo mbuga nk
 
Historia na mbuga za wanyama wapi na wapi?

Au wanatuletea habari kama za Waziri wa elimu wa zamani Mungai sliyeunganisha physics na chemistry na biology kuwa somo moja!

Sasa huyu Mkenda naye anataka kuunganisha Historia, Civic education na Jiografia kuwa kitu kimoja?
 
Tafuta usome tena huo mtaala mpya mkuu mambo mengi yapo mule hata Yale unayodai hayamo
 
Mtoto wa std 3 Kenya ana self awereness, confidence,anaweza kukuchambulia kitu,au ata ukapiga nae story kama kijana wa chuo...nashindwaga kuelewa kwanini wako tofauti na wakwetu huku..ata Rwanda elimu yao iko vizuri.
 
Nimesoma Rasimu ya Mitaala inayopendekezwa, kufuatia kile kinachoitwa mabadiliko ya mitaala ya Elimu nchini

Nilichokiona katika mabadiliko hayo naweza kusema kuwa bado hakikidhi mahitaji ya Watanzania katika kupata Elimu bora ya kuwakomboa.

Katika Rasimu hiyo inayoelezea mitaala ya Elimu kuanzia Elimu ya awali hadi sekondari nimeona mapungufu tafuatayo.

1. Rasimu inawajaza watoto wetu kujua Lugha nyingi sana za Kigeni bila sababu za msingi.

Katika rasimu hii , watoto watatakiwa tangu shule za msingi kujifunza kiingereza, Kifaransa, Kiarabu na Kichina. Hizi lugha zote za kazi gani ili iweje?.

Kwa maoni yangu watoto wanatakiwa wajifunze lugha moja tu ya Kigeni, nayo ni kiingereza. Wajifunze vuzuri lugha moja, waimudu vyema.

Hii hoja eti Wachina wanakuja juu kiuchumi kwa hiyo lazima watu wetu wajue kichina ni Nonsense. Kwa maendeleo ya sasa ya tekinolojia na AI, Ukijua lugha moja ya Kigeni vizuri unaweza kuwasiliana na yeyote duniani kwa msaada wa Wa Tehama hasa Artificial Intelligence. Siku hizi kuna vifaa mtu anaongea lugha moja kifaa kinatafsiri lugha nyingine

Pili muda ambao Watoto wetu watapoteza kujifunza lugha za kichina, Kifaransa na Kiarabu wautumie kujifunza mambo mengine ya maana zaidi kama vile stadi za kazi na Kilimo

2. Rasimu haizungumzii chochote juu ya Elimu ya Ujasiriamali katika elimu ya msingi.

Nimeisoma rasimu, nimeirudia lakini hakuna mahali wala msisitizo wa kufundisha watoto wetu elimu fedha au biashara katika ngazi hii ya Elimu. Sasa kama huwezi kufundisha skills za Enterpreneurship watoto tangu wakiwa wadogo unadhani huko mbeleni utaweza kumudu kutengeneza wajasiriamali wa maana hata kama utafubdisha elimu hii baadae?

3. Rasimu haizungumzii popote namna ya kujenga Critical thinking kwa watoto wetu. Haielezi utaratibu wa midahalo tangu wakiwa wadogo. Nashangaa Rasimu imezipa lugha za kigeni nafasi kubwa lakini haitoi nafasi ya kuwajengea uwezo watoto kudanya fikra tunduizi.

4. Rasimu imekwepa kabisa kufundisha watoto wa shule za msingi Haki zao, na Wajibu wao kwa Jamii na Taifa. Sijaona popote haki za binadamu zikitajwa, Haki ya kupata viongozi wanaotokana na wao ikitajwa. Haki nyingine za kiraia na wajibu wa raia kwa Taifa havijatajwa. Kiufupi Rasimu haimjengi mtoto kujitambua kama raia.

5. Rasimu imekwepa Kufundisha watoto kuhusu Stadi za msingi za maisha za kuwaondia watu katika umasikini kama vile kilimo, ufugaji, uvuvi na ufundi. Nashangaa Rasimu inazungumzia habari za kufundisha watoto kuchonga vinyago ba kucheza ngoma lakini haifundishi hata kidogo SAYANSI KIMU, KILIMO, UFUNDI n.k

6. Hii Rasimu imeshindwa kufundisha watoto vivutio vya Utalii, watoto wajue wana vivutio gani, viko wapi n.k

7. Hii Rasimu haiinstill values kwa watoto.

Values kama vile Uchapakazi, Ukweli, Kuchukia rushwa, kukataa uzembe, Kulinda mali ya jamii na umma, kuchukia uonevu, rushwa n.k

Kiufupi, Hii Rasimu haikidhi mahitaji, na matakwa ya Watanzania wa sasa hata wa kesho. Wizara ya Elimu, na Taasisi ya Elimu jipangeni upya mje na vitu vya msingi. Hayo mambo ya kutuletea Lugha za Kigeni tupu wakati utajiri wa Utamaduni uliomo katika Makabila yetu mkiacha kabisa kuugusia hauwezi kutusaidia.

Rasimu yenyewe hii hapa chini:
Mkuu nadhani umesoma ila hujaelewa.

Kuhusu lugha ni kwamba lugha zinafundishwa ni Kiingereza na kiswahili. Wanaotumia mitaala ya kiswahili watasoma lugha ya kiingereza kama lugha ya kigeni na wanaotumia mitaala ya kiingereza watosoma lugha ya kiswahili kama ligja ya Taifa. Hizo lugha nyingine ni optional na mwanafunzi anaweza kuchagua lugha moja kati ya hizo zingine.

Mengine yooote uliyosema yamezingatiwa. Kumbuka Hiyo ni sera na mitaala, Sylubus ndo itachambua in detail katika kila somo ni nini watosma. Ila yote uliyoyaandika yamezingatiwa

Naona umepanikisha watu tu hapa.
 
Nimesoma Rasimu ya Mitaala inayopendekezwa, kufuatia kile kinachoitwa mabadiliko ya mitaala ya Elimu nchini

Nilichokiona katika mabadiliko hayo naweza kusema kuwa bado hakikidhi mahitaji ya Watanzania katika kupata Elimu bora ya kuwakomboa.

Katika Rasimu hiyo inayoelezea mitaala ya Elimu kuanzia Elimu ya awali hadi sekondari nimeona mapungufu tafuatayo.

1. Rasimu inawajaza watoto wetu kujua Lugha nyingi sana za Kigeni bila sababu za msingi.

Katika rasimu hii , watoto watatakiwa tangu shule za msingi kujifunza kiingereza, Kifaransa, Kiarabu na Kichina. Hizi lugha zote za kazi gani ili iweje?.

Kwa maoni yangu watoto wanatakiwa wajifunze lugha moja tu ya Kigeni, nayo ni kiingereza. Wajifunze vuzuri lugha moja, waimudu vyema.

Hii hoja eti Wachina wanakuja juu kiuchumi kwa hiyo lazima watu wetu wajue kichina ni Nonsense. Kwa maendeleo ya sasa ya tekinolojia na AI, Ukijua lugha moja ya Kigeni vizuri unaweza kuwasiliana na yeyote duniani kwa msaada wa Wa Tehama hasa Artificial Intelligence. Siku hizi kuna vifaa mtu anaongea lugha moja kifaa kinatafsiri lugha nyingine

Pili muda ambao Watoto wetu watapoteza kujifunza lugha za kichina, Kifaransa na Kiarabu wautumie kujifunza mambo mengine ya maana zaidi kama vile stadi za kazi na Kilimo

2. Rasimu haizungumzii chochote juu ya Elimu ya Ujasiriamali katika elimu ya msingi.

Nimeisoma rasimu, nimeirudia lakini hakuna mahali wala msisitizo wa kufundisha watoto wetu elimu fedha au biashara katika ngazi hii ya Elimu. Sasa kama huwezi kufundisha skills za Enterpreneurship watoto tangu wakiwa wadogo unadhani huko mbeleni utaweza kumudu kutengeneza wajasiriamali wa maana hata kama utafubdisha elimu hii baadae?

3. Rasimu haizungumzii popote namna ya kujenga Critical thinking kwa watoto wetu. Haielezi utaratibu wa midahalo tangu wakiwa wadogo. Nashangaa Rasimu imezipa lugha za kigeni nafasi kubwa lakini haitoi nafasi ya kuwajengea uwezo watoto kudanya fikra tunduizi.

4. Rasimu imekwepa kabisa kufundisha watoto wa shule za msingi Haki zao, na Wajibu wao kwa Jamii na Taifa. Sijaona popote haki za binadamu zikitajwa, Haki ya kupata viongozi wanaotokana na wao ikitajwa. Haki nyingine za kiraia na wajibu wa raia kwa Taifa havijatajwa. Kiufupi Rasimu haimjengi mtoto kujitambua kama raia.

5. Rasimu imekwepa Kufundisha watoto kuhusu Stadi za msingi za maisha za kuwaondia watu katika umasikini kama vile kilimo, ufugaji, uvuvi na ufundi. Nashangaa Rasimu inazungumzia habari za kufundisha watoto kuchonga vinyago ba kucheza ngoma lakini haifundishi hata kidogo SAYANSI KIMU, KILIMO, UFUNDI n.k

6. Hii Rasimu imeshindwa kufundisha watoto vivutio vya Utalii, watoto wajue wana vivutio gani, viko wapi n.k

7. Hii Rasimu haiinstill values kwa watoto.

Values kama vile Uchapakazi, Ukweli, Kuchukia rushwa, kukataa uzembe, Kulinda mali ya jamii na umma, kuchukia uonevu, rushwa n.k

Kiufupi, Hii Rasimu haikidhi mahitaji, na matakwa ya Watanzania wa sasa hata wa kesho. Wizara ya Elimu, na Taasisi ya Elimu jipangeni upya mje na vitu vya msingi. Hayo mambo ya kutuletea Lugha za Kigeni tupu wakati utajiri wa Utamaduni uliomo katika Makabila yetu mkiacha kabisa kuugusia hauwezi kutusaidia.

Rasimu yenyewe hii hapa chini:
Kwanza nikwambie hivi,hii nimrasimu na imetolewa kwa ajili ya kuchambuliwa na kutolewa maoni sasa kila mtu ikiwemo wewe ni kutoa maoni sio kukimbilia kutoa lawama, hata hivyo hujaisoma vizuri, soma vizuri kwa utulivu ndipo utoe hayo maoni yako
 
Duh....sijabahatika kuipitia lakini kama unayoyasema ni kweli hayakuzingatiwa basi tuna safari ndefu sana ya kujikomboa.
Tatizo ni kwamba hawa waliotengeneza hiyo rasimu bado ni wa kizazi kile ambacho kinaamini kufanikiwa hakupaswi kuwa kwa wote.
Yaani unakuta mtu ni profesa wa chuo kikuu lakini hataki kuona mtu wa chini yake anausogelea au hata kuufanania huo uprofesa. Yaana wana imani kuwa wakifanikiwa wengi kwenye nyanja flani basi itaonekana kama fani hiyo haina maana sana na wao watashuka kithamani.
Tunaona jinsi watu kama wanasheria na school of law walimu wao wasivyo patwa hata na mshtuko kidogo kuona namna watu wanavyofeli kila mwaka.
This country need some maombi....
Bro hiyo ni rasimu sio sera kamili na imetolewa ili watu watoe maoni yao,ndipo itatengenezwa muswada upelekwe bungeni kwa mjalada,hivyo kwa sasa sjo muda wa lawama ni muda wa kutoa maoni
 
Wasomi wetu wamefuzu kwa kukopi na kupesti, wamenunua maandiko, wameandikiwa CV, wamevua nguo, wamenunua nafasi na mitihani.

Tunaweza tengeneza mtaala safi wa;
  • UBADHIRIFU
  • UZEMBE
  • ULAMBA ASALI
  • UNAFIKI
  • ULAFI
  • UBAGUZI
  • UONEVU
  • MIPASHO
  • NGONO

Ingawa kwa hizi akili zetu, tukiandikiwa hayo ndo tutafanya vizuri zaidi katika utekezaji, tukiandika wenyewe, haitaeleweka!
Sasa bro unalaumu nini kwa rasimu? rasimu ipo kwa ajili ya kutolewa maoni, isome na utoe maoni yako
 
Rasimu hii nimeipitia haijaonesha uwezo wa kumtengenezea mwanafunzi au muhitimu yeyote kiu na njaa ya kutafuta maarifa kwa kumpa stadi za awali katika kutafuta taarifa sahihi ili kukuza stadi za kufikiri kwa kina, kutatua matatizo kibingwa na kuwaza kinyumbufu

Ndio maana hii nchi hatuwezi kupata wabunifu na wagunduzi wa kuipeleka nchi yetu mbele

Kiukweli hakuna ukomo kwenye kuwaza au kufikiri na hata kutenda jambo lakini kunapaswa kuanzia shuleni

Yesu anasema hivi, heri wenye njaa na kiu ya haki maana hao watashibishwa. Maana yake kuna mambo ya Msingi lazima yajengwe kwa watu ili wamalizapo elimu fulani wawepo kwenda mbele kinamna nyingine kwa misingi na njia zao wenyewe baada ya kuhitimu mafunzo kwenye ngazi fulani

Rasimu hii hapana itatupeleka chaka na huoni nini tunajenga kwa kizazi chetu baada ya miaka kumi au ishirini ijayo
Hebu toa maoni yako unataka nini kiwekwe kwenye rasimu?
 
Wange focus zaidi na stadi za maisha, values and morals kiundani, critical thinking ni muhimu, pia lugha moja inatosha.
In short elimu yetu ingejikita ku solve matatizo yetu yanayotuzunguka kuliko kuhangaika na ki china wakati hata ku masta mazingira yetu watu wameshindwa
Afadhali wewe japo umetoa maoni yako, japo hayo uliyoyasema yamo kwenye rasimu
 
Japo sikuisoma yote hiyo rasmu, lakini hapo kwenye lugha nne za kigeni, naona haijakaa sawa. Kama tu kwa sasa tunatumia lugha mbili, yaani Kiswahili na Kiingereza, na Watanzania wengi hata wanapofika chuoni Kiingereza inakuwa changamoto. Je, itawezekana kweli kuongeza lugha nne kama Kiingereza, Kifaransa, Kichina, na Kiarabu?
 
Nimesoma Rasimu ya Mitaala inayopendekezwa, kufuatia kile kinachoitwa mabadiliko ya mitaala ya Elimu nchini

Nilichokiona katika mabadiliko hayo naweza kusema kuwa bado hakikidhi mahitaji ya Watanzania katika kupata Elimu bora ya kuwakomboa.

Katika Rasimu hiyo inayoelezea mitaala ya Elimu kuanzia Elimu ya awali hadi sekondari nimeona mapungufu tafuatayo.

1. Rasimu inawajaza watoto wetu kujua Lugha nyingi sana za Kigeni bila sababu za msingi.

Katika rasimu hii , watoto watatakiwa tangu shule za msingi kujifunza kiingereza, Kifaransa, Kiarabu na Kichina. Hizi lugha zote za kazi gani ili iweje?.

Kwa maoni yangu watoto wanatakiwa wajifunze lugha moja tu ya Kigeni, nayo ni kiingereza. Wajifunze vuzuri lugha moja, waimudu vyema.

Hii hoja eti Wachina wanakuja juu kiuchumi kwa hiyo lazima watu wetu wajue kichina ni Nonsense. Kwa maendeleo ya sasa ya tekinolojia na AI, Ukijua lugha moja ya Kigeni vizuri unaweza kuwasiliana na yeyote duniani kwa msaada wa Wa Tehama hasa Artificial Intelligence. Siku hizi kuna vifaa mtu anaongea lugha moja kifaa kinatafsiri lugha nyingine

Pili muda ambao Watoto wetu watapoteza kujifunza lugha za kichina, Kifaransa na Kiarabu wautumie kujifunza mambo mengine ya maana zaidi kama vile stadi za kazi na Kilimo

2. Rasimu haizungumzii chochote juu ya Elimu ya Ujasiriamali katika elimu ya msingi.

Nimeisoma rasimu, nimeirudia lakini hakuna mahali wala msisitizo wa kufundisha watoto wetu elimu fedha au biashara katika ngazi hii ya Elimu. Sasa kama huwezi kufundisha skills za Enterpreneurship watoto tangu wakiwa wadogo unadhani huko mbeleni utaweza kumudu kutengeneza wajasiriamali wa maana hata kama utafubdisha elimu hii baadae?

3. Rasimu haizungumzii popote namna ya kujenga Critical thinking kwa watoto wetu. Haielezi utaratibu wa midahalo tangu wakiwa wadogo. Nashangaa Rasimu imezipa lugha za kigeni nafasi kubwa lakini haitoi nafasi ya kuwajengea uwezo watoto kudanya fikra tunduizi.

4. Rasimu imekwepa kabisa kufundisha watoto wa shule za msingi Haki zao, na Wajibu wao kwa Jamii na Taifa. Sijaona popote haki za binadamu zikitajwa, Haki ya kupata viongozi wanaotokana na wao ikitajwa. Haki nyingine za kiraia na wajibu wa raia kwa Taifa havijatajwa. Kiufupi Rasimu haimjengi mtoto kujitambua kama raia.

5. Rasimu imekwepa Kufundisha watoto kuhusu Stadi za msingi za maisha za kuwaondia watu katika umasikini kama vile kilimo, ufugaji, uvuvi na ufundi. Nashangaa Rasimu inazungumzia habari za kufundisha watoto kuchonga vinyago ba kucheza ngoma lakini haifundishi hata kidogo SAYANSI KIMU, KILIMO, UFUNDI n.k

6. Hii Rasimu imeshindwa kufundisha watoto vivutio vya Utalii, watoto wajue wana vivutio gani, viko wapi n.k

7. Hii Rasimu haiinstill values kwa watoto.

Values kama vile Uchapakazi, Ukweli, Kuchukia rushwa, kukataa uzembe, Kulinda mali ya jamii na umma, kuchukia uonevu, rushwa n.k

Kiufupi, Hii Rasimu haikidhi mahitaji, na matakwa ya Watanzania wa sasa hata wa kesho. Wizara ya Elimu, na Taasisi ya Elimu jipangeni upya mje na vitu vya msingi. Hayo mambo ya kutuletea Lugha za Kigeni tupu wakati utajiri wa Utamaduni uliomo katika Makabila yetu mkiacha kabisa kuugusia hauwezi kutusaidia.

Rasimu yenyewe hii hapa chini:
Nakumbuka mwanzoni mwa mchakato kulikuwa na fursa kutoa maoni kwa Watanzania wote, vipi wakati ule ulitoa maoni yako na hayakuzingatiwa???

Mda mwingine inawezekana tunalaumu lakini katika tunayoyalaumu na sisi tulichangia.
 
Hatulaumu, tunaonyesha mapungufu na mapendekezo ili kuboresha.

Na huo ni wajibu wetu kama raia.
Si kila mtu alikuwa na access , taarifa au muda wa habari za mchakato wa awali.
 
Sasa bro unalaumu nini kwa rasimu?rasimu ipo kwa ajili ya kutolewa maoni,isome na utoe maoni yako
Tatizo ni kuwa, maoni yanayoletwa kwa taifa, yaendane na uhalisia! Sio kwasababu ni rasimu basi iende kinyume kabisa kisa kuna nafasi ya kurekebisha! Huwezi tengeneza skeleton ya mjusi kisha utegemee kumpata kuku kwa marekebisho, ni upotevu wa muda na rasilimali!
 
Back
Top Bottom