Kwa mujibu wa link ya Wizara ya Elimu hapa chini, kuli/kuna kongamano la Elimu linafanyika Dodoma tarehe 12-14 Mei 2023. Nimejaribu kuingia/kushiriki kwa njia ya zoom link waliyoweka kwenye website yao lakini haiko hai.
Hivyo kama kuna mdau aliyeshiriki Kongamano hilo anakaribishwa kutoa mchango na maoni yake huku JF.