Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
Mboe ndiyo niniAu mboe scholarship
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mboe ndiyo niniAu mboe scholarship
Sio kila pesa ya ufadhili wa masomo inatoka Bodi ya Mikopo, usikariri, mfano NBC wanatoa Mikopo ya Elimu ya Juu, TASAF wanatoa mikopo, kwanini mpango wa Rais kuinua masomo ya Sayansi ukukere au ndio roho za kutopenda mafanikio ya wengineHuu ni uhuni mkubwa. Rais ndiye mkuu wa board ya mikopo kwa nchi hii. Board ya mikopo ndo yenye majukumu ya udhamini ya elimu ya juu. Hizi sifa za zingine ni uhuni mtupu.
Na ukisoma post hii unagundua inawezekana hata baadhi ya waliosoma hawajaelimika, umeacha kujadili hoja ya msingi na role ya scholarship umeshupaza kichwa na kutukuza watu. Duniani kuna George Washington Scholardhip, Mandela Scholarships, why Samia ikuwashe?Profesa anaendekeza sifa za kijinga kama wale wahuni wa uvccm. Badala ya Profesa kuja na mikakati inayoeleweka kwa umma, anaingiza siasa za kijinga za kumtukuza rais. Nchi hii kuna tofauti ndogo sana kati ya aliyesoma na ambaye hajasoma.
Kama mtoto wako amekomaa kusoma HKL na KLF ili awe mwalimu hapo kosa ni la naniMnatenga hela za walipa kodi mnazipa title nzuri as if zinakwenda kweli kusaidia walengwa lakini utekelezaji wake unaishia kusomesha watoto wenu...malengo yanakua zero
Motivational speaker kazini.Kuajiriwa na serikali na kuwa na ajira ni vitu viwili tofauti
Chawa Hamnaga akili.Scholarships hizo hazimaanishi watasoma Bongo tu, wanaweza kwenda abroad pia
Inategemea na unachosomea ila mambo mengi ya sayansi hayahitaji kuajiriwa, na hata ukitaka ajira si ngumu kupata.Halafu hao Wanasayansi waende wapi baada ya kumaliza kusoma?
Haya ni maneno ya kujifariji tu.Ukisoma uhandisi hutakiwi kulilia ajira bali mtaji wa kuwezesha ubunifu wako.
Motivational speakers mko kila Kona.Ukisoma uhandisi hutakiwi kulilia ajira bali mtaji wa kuwezesha ubunifu wako.
😄😄 Madaktari(MD) wako mtaani wanaendesha bodaboda wengine wako kwny vibanda vya m-pesa,sijui unaongelea sayansi gani hizoInategemea na unachosomea ila mambo mengi ya sayansi hayahitaji kuajiriwa, na hata ukitaka ajira si ngumu kupata.
Nchi yetu inapotea hii ukienda chuo course za sayansi unakuta wapo 7 ama 10 darasani ukienda H kunani huko political science ama public relations wapo maelfu wanafundishwa kwenye mi hall mikubwa.
Ndio maana unaona wanafunzi wa science wanapendelewa kwenye mikopo na fursa kama hizi.
Kwa Dunia ya Sasa inapoelekea sayansi ndio Kila kitu, Mimi, wewe, watoto wetu na nchi Kwa ujumla tunatakiwa tuhimizane tusome sayansi kama tunaipenda hii nchi na tunataka mafanikio yake baadae.
Madaktari wengi wameajiriwa Awamu hii, wapo wengi sababu Awamu iliopita ilikuwa haitoi ajira, ila kuendelea mbele wataisha.😄😄 Madaktari(MD) wako mtaani wanaendesha bodaboda wengine wako kwny vibanda vya m-pesa,sijui unaongelea sayansi gani hizo
😄😄 We jamaa hivi unajua vyuo vya madaktari vinatoa wahitimu wangapi kwa mwaka?Nikuwekee hapa ajira zilizotolewa na serikali uone Kama hujaenda kuchekea chooni.Madaktari wengi wameajiriwa Awamu hii, wapo wengi sababu Awamu iliopita ilikuwa haitoi ajira, ila kuendelea mbele wataisha.
Kuna sehemu kibao wanatafuta Madaktari even Leo hii ila watu hawataki kwenda, mfano Huku kwetu Kuna wilaya mpya ya mkinga unakuta hospitali nzima Ina Daktari mmoja TU, ajira zipo hakuna anaetaka kwenda, madaktari wanabembelezwa same Kwa vijiji kibao Nchi hii.
Ndio na ndio uhalisiaMotivational speakers mko kila Kona.
Mwaga data, usiandikie mate😄😄 We jamaa hivi unajua vyuo vya madaktari vinatoa wahitimu wangapi kwa mwaka?Nikuwekee hapa ajira zilizotolewa na serikali uone Kama hujaenda kuchekea chooni.
Tembelea jukwaa la ajira la hapa hapa JF uone hao ma MD wakitafuta hizo ajira na wako tayari kufanya kazi popote pale.