Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

Mambo yanabadilika ndugu, this 21st century... mambo yanabadilika, hatukutegemea Tanzania tutawaliwe na Dikiteita, it has happened. Ngoja na hili la binti zetu libadilike...
 
Hiyo ya Pili ni kujazia nyama tu lkn HIYO ya kwanza kama LUGHA inapanda huwezi sema serikali imesalim amri ya mabeberu. Sijui lkn kama LUGHA inapanda.

Senti bai yuzingi tecno T301
I think your problem is the government yielding to 'mabeberu', rest assured they will.

I'm probably wasting my time arguing with a secondary school kid.
 
Mabeberu shikamoo😀 Duuh!
Yaani tumegeuka 180degrees....
World Bank mtugee sasa huo mpunga...

Everyday is Saturday.....................😎
 
Hahahahahahah naona unaleta ubishi ambao haupo na sasa unataka tujadili has, have na had. Unaambiwa "URT has systems" kwamba hapa uelewi maana yake nini hadi uanze kuleta story za have na had?RUDI SHULE MKUU, hiyo Barua ya kwanza iko sawa tu na ya Pili ktk Lugha au Maelezo tofauti. Na pili mbona hujaendelea na story zako za CONTINUE?Kama kabarua kadogo tu haka Umeshindwa kuelewa, mikataba utaelewa kweli wewe?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
I think your problem is the government yielding to 'mabeberu', rest assured they will.

I'm probably wasting my time arguing with a secondary school kid.
Unajipotezea muda mwenyewe kwakutoa jua Kiingilish na kutoelewa mambo.Yaani kwamba Aya ya Mwisho hujui maana yake nini?Na unavyopenda league na serikali umekuja faster kuongopa humu eti serikali imebadili gia angani.

Serikali ilichofanya ktk Barua ya pili ni kurahisisha tu coz Inajua ina VILAZA kama Nyie. Mimi hata bila kusoma Barua ya pili bado niliona una upeo mdogo ktk kuchanganua mambo coz Barua haikusema kama ulivyosema. Na kuthibitisha hili pitia posts kabla haujapost barua ya Pili utaona kuna Waliohoji.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
"At the right time a subject will be given an opportunity to CONTINUE with her Education.

Sasa kwenda Veta, Qt ni continuation?

Binti anafukuzwa form 2 anaenda kuendelea na elimu yake Veta?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mna nini nyie waafrika ndiyo maana mnaingizwa kwenye mikataba ya kijinga kama chifu Mangungo wa Msovero.

Haijawahi kutokea mtoto akakatazwa kuendelea ila issue ataendeleaje kwa njia zilizoelezewa moja wapo ni MEMKWA, QT, Private candidates, Veta na ujasiriamali, ila government privileges ndiyo asahau maishani mwake. labda elimu ya juu.

Kwahili sioni kosa kwa serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu SHIDA ya watu wa humu UJUAJI mwingi sana.Yaani mtu hiyo Barua ya kwanza kashindwa kuielewa kabisa. Na wengi wanaocomment humu wamefuata tafsiri ya jamaa na sio kusoma na kuelewa

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Humu hamna GREAT thinker, kuna wajuaji UCHWARA ambao hawajui kama HAWAJUI KITU.Sasa kama barua ya kwanza tu mtu kashindwa kuielewa, ataweza kusoma mikataba?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Nafikiri waliona barua ya kwanza namna taarifa yao ilivyokuwa haijakamilika, wakatoa ya pili kuweka sawa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kwanza ilieleweka hasa ukisoma aya ya mwisho. Ila sema VILAZA wengi Tanzania so wakaona waje na simplified zaidi.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Aya hii ktk Barua ya kwanza ina maana gani?Soma barua yote ndipo uchangie sio kukata kakipande na kuja kushupaza shingo humu.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Unajua kwanini barua ya pili iliandikwa..?

Poor interpretation ya watanzania ndiyo ilipelekea ije barua ya pili kufanya clarification ila bado hawaelewi jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio hivyo,Watanzania wangekua vizuri ktk Lugha,barua ya kwanza ilitosha kabisa. Imeletwa ya Pili bado vichwa vizito.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Hizo siasa tu kijana! Ukipata mimba mpaka unazaa ni mwaka mmoja (yaani miezi 10). Ongeza miaka 2 ya kunyonyesha miaka 3 imeishapotea. Sasa atarudi asome secondary hipi? Hapa ni kwenda veta tu, wala sio secondary zetu! Weeee kalaghabao!
Siko huko, haujanielewa unahitaji juhudi za ziada kunielewa.
 
Kiazi kweli wewe, katibu mkuu analazimika kutoa barua ya pili na kuifuta ile ya awali wewe unasema ziko sawa, watanzania mnashida vichwani.

Barua zote ziko sawa. Wizara imetoa ya pili ili kuondoa sintofahamu hii inayoonekana hapa. Kwa wataalamu wa elimu ingeeleweka vizuri. Lakini kwa asiye katika sekta inampa shida. Mwanafunzi akipata mimba na kufutwa shule anatambulika kuwa ni “out of school child”.
Paragraph ya mwisho ndio inatoa njia ya kuwasaidia hao watoto, pamoja na waliotoka kwa sababu za uja uzito.
Inatia moyo kwamba wapo walioelewa kuwa barua zote ziko sawa tu.
 
Kutokana na ujinga kuna wazazi wengine huwatuma watoto wao kufanya vituko mfano kuwa watoro shuleni au watoto wabebe mimba ili waolewe wazazi waambulie kupata mahari!

Mahari uliza shilingi ngapi?

Hapo ndiyo utachoka mwenyewe!

Kwa ujinga na ukosefu wa mwamko wa elimu wazazi wamekuwa wakwanza kuwafundisha watoto wao kufanya vituko vitakavyopelekea wanafunzi wafukuzwe Shule kwa mujibu wa kanuni za Shule


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…