Wizara ya elimu yamekuwa..........!!!

Wizara ya elimu yamekuwa..........!!!

Sahar

Senior Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
184
Reaction score
83
Hoja ya Mbatia kuhusu Mitalaa(mitaala kama ilivyozoeleka) ya elimu Tanzania, bila shaka ingefaa igusie pia swala juu ya Website ya Wizara ya Elimu kutokufanya kazi kwa sasa. Kwa akili ya kawaida sidhani kama ni busara kwa kipindi kama hiki ambapo wanafunzi wana hamu ya kujua matokeo yao, pamoja na waliomaliza vyuo wakiwa wanasubiri ajira(ualimu) kuona chanzo cha kupata taarifa muhimu eti "This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the reseller ran out of resources."
 
Mi nadhan serikal ifike mahara sasa ianze kufanya ukakuzi ktk kila wizara, yaan iwepo tume itakayokuwa inafanya uchunguz na kubaini mazaifu yaliyoko ktk kila wizara hapa nchini, suala sio wizara ya elimu ni watu fulan fulan tu ambao wanataka kujinufaisha wao na kusahau kuwa kuna umma ambayo inategemea ufanis wa kaz na yenye manufaa wizaran na si suala la kudanganya wananchi kuwa watafanya,mwisho wa siku kimya.
 
Hakika Watanzania tuna wakati mgumu sana. Jambo kama hilo hata halitolewi taarifa!!!!
 
Back
Top Bottom