Sahar
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 184
- 83
Hoja ya Mbatia kuhusu Mitalaa(mitaala kama ilivyozoeleka) ya elimu Tanzania, bila shaka ingefaa igusie pia swala juu ya Website ya Wizara ya Elimu kutokufanya kazi kwa sasa. Kwa akili ya kawaida sidhani kama ni busara kwa kipindi kama hiki ambapo wanafunzi wana hamu ya kujua matokeo yao, pamoja na waliomaliza vyuo wakiwa wanasubiri ajira(ualimu) kuona chanzo cha kupata taarifa muhimu eti "This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the reseller ran out of resources."
Either the domain has been overused, or the reseller ran out of resources."