Wizara ya Fedha kutoa ufafanuzi dhidi ya "upotoshaji wa tozo"

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya.

Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuwepo.....
IMG-20220821-WA0045.jpg
 
Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya.

Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana Kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuepo.....
Mtu analipwa FAO then anapigwa tozo huu in unyang'anyi usiovumilika katika jamii inayopitia katika mfumuko wa bei kila uchao.
Ila Mungu ni mwema atatuvusha tuliokosa wa kutuvusha zaidi kuongezewa mzigo usiokuwa na ulazima kwani kwani tunaviongozi waliozoea kuchuma kilichoiva tu kwenda kukata mbuga kwao ni mwiko.
Jitafakarini sana wanaccm wenzangu tukumbuke tunayoyapitia sio mazuri kwa nyakati zisizopenda blabla za kiuongozi
 
Tulia Mpwa, wanakuja kutoa "ufyatanyuzi"
 
Back
Top Bottom