init
Senior Member
- Mar 22, 2021
- 115
- 109
Yaliyo fanyika hivi karibuni;
1. Kuanzishwa kwa tozo katika miamala ya simu za mkononi.
2. Kuanzishwa kwa government levy katika miamala ya kibenki.
Yangeli tosha kabisa kumtathmini Mh Mwiguru ikiwa anamudu, kwani ameonekana kuishi katika machaguo duni siku zote.
Miongoni mwa mafanikio yaliyo fikiwa na serikali ni kuanzisha mfumo wa GePG , “Government e-Payment Gateway System”. Huu ni Mfumo wa kielektroniki unaowezesha ukusanyaji wa fedha za umma kielektroniki Serikalini. Mfumo huu umechagizwa kwa kiasi kikubwa na maendeleo ya miundombinu ya kifedha ya kidijitali. Na mafanikio yake katika mapato yameonekana.
Kukosa mipango ya muda mrefu katika ukusanyaji wa mapato na vyanzo vyake ni matokeo ya tamaa ya pesa ya haraka haraka ambayo matokeo yake ni kuwaumiza watafutaji, wawekezaji, wafanyabiashara na watumishi wa umma.
"I'm in a view that we are approaching a tremendous disrupt of digital economy; where cash payments will be a demand to almost everyone. "