wizara ya futa ajira mpya za walimu 2013

Baba Clara

Member
Joined
May 10, 2011
Posts
94
Reaction score
27
majina yaliyokuwa yamewekwa kwa awamu ya pili na wizara yote yametolewa bila notification yoyote, hivyo nakushauri check jina lako upya.
 
Wizara ipi???????? Una maana ya ajira mpya za waalimu???????????
 
Serikali haina ubavu wa kufuta ajira za walimu; ila wananchi wanaoubavu wa kuiondoa serikali madarakani wakati wowote wakiamua!Dogo uliyepost hiyo yawezekana hujajua kuwa Wizara inawatumikia wananchi na si kuwatawala itakavyo! Hizo ajira si ruzuku ni haki yao waliozipata.
 
Mbona unadanga watu mkuu maana walimu wapya tayari majina yao yamefika kwenye halmashauri za wilaya tayari kwa kupangiwa vituo vya kazi :nono:
 
Serikali haina ubavu wa kufuta ajira za walimu; ila wananchi wanaoubavu wa kuiondoa serikali madarakani wakati wowote wakiamua!Dogo uliyepost hiyo yawezekana hujajua kuwa Wizara inawatumikia wananchi na si kuwatawala itakavyo! Hizo ajira si ruzuku ni haki yao waliozipata.
usiwe mbishi angalia jina lako kama utaliona wamebakiza yale ya awali mengine yote yametolewa
 
baba clara! Ukilikosa jina Moevt, nenda web ya utumishi,ukilikosa utumishi nenda web ya local government! Kote huko majina yapo!
 
Langu halipo MoEVT! Nifanye,wakati mara ya kwanza lilikuwepo? Shahada/Mathematics
 
majina yaliyokuwa yamewekwa kwa awamu ya pili na wizara yote yametolewa bila notification yoyote, hivyo nakushauri check jina lako upya.

we bwa mdogo, acha kukurupuka, taarifa itolewayo kwenye website haikuhusu ila iwekwayo.
Hujapewa taarifa yoyote kelele za nini?
 
Back
Top Bottom