Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
majina yaliyokuwa yamewekwa kwa awamu ya pili na wizara yote yametolewa bila notification yoyote, hivyo nakushauri check jina lako upya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiwe mbishi angalia jina lako kama utaliona wamebakiza yale ya awali mengine yote yametolewaSerikali haina ubavu wa kufuta ajira za walimu; ila wananchi wanaoubavu wa kuiondoa serikali madarakani wakati wowote wakiamua!Dogo uliyepost hiyo yawezekana hujajua kuwa Wizara inawatumikia wananchi na si kuwatawala itakavyo! Hizo ajira si ruzuku ni haki yao waliozipata.
usiwe mbishi angalia jina lako kama utaliona wamebakiza yale ya awali mengine yote yametolewa
Ndio walimu wetu walivyo hivyo mkuu!Toa taarifa vizuri.
majina yaliyokuwa yamewekwa kwa awamu ya pili na wizara yote yametolewa bila notification yoyote, hivyo nakushauri check jina lako upya.