figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Wazara ndio nini?Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu tukio la kukamatwa kwa ROMA Mkatoliki na watu wasiojulikana.
Imesema imewasiliana na vyombo vya Usalama, na hakuna chombo Kikichomshikilia Msanii Roma.
Wizara imewaomba watu kutoa taarifa itakayowezesha kupatikana kwake.
Sarakasi za mwachie Ney na wimbo wake usifungiwe, mara karibu magogoni zilikuwa na maana sana kwa Waliohusika na utekaji.Ni jambazi gani au ni mshindani gani ambaye ana maslahi ya kumteka Roma,pamoja na vitu vyenye kumbukumbu kama CPU na TV? Mimi ni wa mwisho kuamini kuwa serikali ipo seriazi kwenye jambo hili achilia tu nia ya dhati!! ##AkinaRoma wako wapi?
Kama mojawapo ya "majeshi" hayo hawajamalizana na Roma hawawezi kukiri kumshikiliaSijui pia waliwasiliana na vyombo vyote vya usalama kujua kama kimojawapo ndicho kilichofanya collabo na Bashite kuvamia Mawingu FM?
Bashite kaulizwa? Maana ana "jeshi" yule. Kuwa mwenyekiti wa kamati nyeti sio mchezo.
Kama wizara imehakikishiwa na vyombo vya dola kuwa hawajui mateka walipo, inawataka wananchi washirikiane na polisi kwa misingi gani?????!!!!Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu tukio la kukamatwa kwa ROMA Mkatoliki na watu wasiojulikana.
Imesema imewasiliana na vyombo vya Usalama, na hakuna chombo Kikichomshikilia Msanii Roma.
Wizara ya Habari yawaomba wananchi kushirikiana na Polisi kwa kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa Roma Mkatoliki na wenzake.
View attachment 492509
Naomba mungu anijalie angalau nusu ya huruma uliyonayo! ningekuwa mimi NINGEWAPOTEZA![emoji36] [emoji35] [emoji28] [emoji29] [emoji48] [emoji48] [emoji29] [emoji28] [emoji36] [emoji35]Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu tukio la kukamatwa kwa ROMA Mkatoliki na watu wasiojulikana.
Imesema imewasiliana na vyombo vya Usalama, na hakuna chombo Kikichomshikilia Msanii Roma.
Wizara ya Habari yawaomba wananchi kushirikiana na Polisi kwa kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa Roma Mkatoliki na wenzake.
View attachment 492509
tunakoelekea si kuzuri..keep it in mindNi jambazi gani au ni mshindani gani ambaye ana maslahi ya kumteka Roma,pamoja na vitu vyenye kumbukumbu kama CPU na TV? Mimi ni wa mwisho kuamini kuwa serikali ipo seriazi kwenye jambo hili achilia tu nia ya dhati!! ##AkinaRoma wako wapi?