Kuhusu huku kutafuta kiki kwa kujipoteza/kujiteka kwa huyu anayejiita Roma Mkatoliki, Serikali isijihusishe wala isihangaike na hawa takataka, mkianza (Serikali) kucheza ngoma zao, swali la kujiuliza ni kipi kinafwatia?
Hivyo wapotezeeni hawa watu wa chadema wameshashindwa kila mahali, Uchaguzi wameshindwa, Bungeni hawana lao kwa maana wako 30 tu, na Uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa wamekataliwa na Watanzania hata huko kwao Moshi Wachaga wamewakataa pia, wamepata Kata moja tu kati ya Kata 20, ...