Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, haijui ROMA alipo

Na wale wanaowatangazaga itv kuhusu kupotea kwao,ndo ingekuwa na serikali wanawafutilia ivi ingekuwa raha sana kwani sie wote ni watanzania
 
Jamaa wanajitahidi kweli kutengeneza story. Hii nchi hii ... Mpaka 2020 tutakuwa na vi-wonder vya kutosha tu.
 

We ni mk..u sana... Ungekua karibu yangu ungechezea vitasa.bashite wahedi ww
 
kuna wakati huwa ninamkumbuka waziri mkuu mstaafu mh.SUMAYE kwa haya yanayotokea mara tv imevamiwa mara flani haonekani ila kama kunakukutana huko ahela tutaoneana aibu
 
uli upate dhahabu ni lazima uichome kwa moto mkali, nafikiri kwa hili wanampaisha Roma Mkatoliki.
 
Jamani msimlaumu Bashite na Director wake kabila lao ndivyo walivyo wakishapata pesa, elimu au cheo wakawazidi wengine wanajiona mungu watu ninachowaomba siku nyingine msifanye makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…