Mtondoli
Member
- Nov 9, 2021
- 70
- 174
Hii wizara ipo Kama haipo. Tunaelekea January Bei ya mbolea nikama tunanunua dhahabu, haijawahi tokea tangia uhuru.naona wanakula kiyoyozi tu hapo wizarani. Nimepita sumbawanga vijijini watu wanauziwa mbolea 150000"watu wameamua kuachana na kilimo Cha mahindi wanalima maharage kwa sababu hawawezi Tena kumudu Bei ya pembejeo.
Kama kweli wizara hii ipo Basi ni mbovu Sana na ninahisi waziri hajawahi kuwa mkulima.
Sijui kama huwa anafanya ziara kwenye mikoa ya kimkakati kama Rukwa, Katavi, Mbeya na Ruvuma, wakulima wanalazimika kukopa mbolea mfuko mmoja ni gunia kumba baada ya mavuno. Eti waziri yupo, serikali ipo na bajeti ya wizara ya kilimo imetengwa ipo.
Hii wizara imekuwa mbovu kuliko zote waifute tu isiwepo maana haina umuhimu wowote kwa mkulima🕺