Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Na hapo ni 2kg tu!!!!Hivi kweli kabisaaa tunayo hayo yakutosha tuu halafu wanafunzi wanakaa chini,Barabara hazipitiki,mmmh tujitafakari
Hakika tumerogwa wote Tanzania nzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo ni 2kg tu!!!!Hivi kweli kabisaaa tunayo hayo yakutosha tuu halafu wanafunzi wanakaa chini,Barabara hazipitiki,mmmh tujitafakari
Kuna Mwarabu kuleRuby hyo inachimbwa ktk wilaya aliyetokea huyo wazir longido
Majangili yote yapo kwenye systemHapa ndio naona ni Kwa nini Nyerere alitenganisha biashara na utumishi Kwa sababu ya mambo kama haya hili jambo lazma linahusu wakubwa na wanajua sema tu wanakwepa kusema ukweli wacha majizi yatumalize mpaka siku mtanzania halisi atakapozaliwa maana Hawa waliopo ni kama nyumbu tu
Beba bangi uonge kama utavuka mpakaHuu upumbavu tu kujifanya eti hawajui lilifikaje huko.. wanaona watu wote ni misikule?? hivi Chief Hangaya atangazwe burj Al Khalifa siku mbili nzima bure kweli??????wanampenda sana au??? Za kuambiwa changanya na za kwako.
Kumbe alikuta unaoga akabeba nguo zako!, ulipomkimbiza akupatie nguo zako ukaonekana mwehu ni wewe mwenyewe!... tulipata taarifa "kupitia mitandao ya kijamii". Mbona yule mwehu alitamani ifungiwe?
Mbona Mh. kaitaja wizara ya maliasili tena na nchi ya Dubai 🤣 tupo serious kweliLeo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza kuhusu jiwe la Tanzania linalipigwa Dubai Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia.
=====
Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa Dubai na jiwe hili linasadikika linatoka Tanzania na kwamba siku chache zijazo kutakuwa na mnada wa kuuza jiwe hili. Je kama nchi tunanufaika vipi na mnada huo?
Naibu waziri wa Madini: Ni kweli mnamo tarehe 13 April mwaka huu wizara ya madini ilipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba kuna jiwe la madini ya ruby lenye uzito wa kilo 2.8 na ambalo linadaiwa kuwa na thamani ya dola milioni 120 sawa na zaidi ya bilioni 240 ambalo limepewa jina la bald al hamal na ambalo linakwenda kuwekwa mnadani ndani ya siku 30 baada ya mfungo na jiwe hilo kudaiwa limetoka Tanzania.
Mara baada ya kupata habari hizi, wizara ya Maliasili imechukua hatua za haraka kutafuta kama habari ni za kweli na kama jiwe hili limetoka Tanzania na kwasababu jiwe hili limeshavuka mipaka lipo kwenye nchi nyingine.
Taarifa hizi sasa ambazo tunazikusanya zinahusisha nchi za Dubai na tayari tunafanya mawasiliano na ubalozi wetu kufuatilia ukweli, pia tumebaini mmiliki wa sasa wa jiwe hilo yuko nchini Marekani na mawasiliano naye tumeshafanya tangu jana.
Tutapopata nyaraka za usafirishaji kama kweli limetoka Tanzania, thamani na asili, nyaraka za mauzo tutaleta taarifa bungeni na kama ni la kwetu niwahakikishie watanzania haki yao haitapotea.
Pia, soma=> Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje
=> Mali yetu inauzwa mnada wa Dubai Madini ya Ruby
View attachment 2195200
Upuuzi gani huu. Jiwe limetoka kinyemela tumejua likiwa sokoni nchi nyingine. Hapo utaweza kupata kitu? Na wakisema walikosea tu halijatoka kwetu mtaweza kufanya nini.Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza kuhusu jiwe la Tanzania linalipigwa Dubai Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia.
=====
Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa Dubai na jiwe hili linasadikika linatoka Tanzania na kwamba siku chache zijazo kutakuwa na mnada wa kuuza jiwe hili. Je kama nchi tunanufaika vipi na mnada huo?
Naibu waziri wa Madini: Ni kweli mnamo tarehe 13 April mwaka huu wizara ya madini ilipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba kuna jiwe la madini ya ruby lenye uzito wa kilo 2.8 na ambalo linadaiwa kuwa na thamani ya dola milioni 120 sawa na zaidi ya bilioni 240 ambalo limepewa jina la bald al hamal na ambalo linakwenda kuwekwa mnadani ndani ya siku 30 baada ya mfungo na jiwe hilo kudaiwa limetoka Tanzania.
Mara baada ya kupata habari hizi, wizara ya Maliasili imechukua hatua za haraka kutafuta kama habari ni za kweli na kama jiwe hili limetoka Tanzania na kwasababu jiwe hili limeshavuka mipaka lipo kwenye nchi nyingine.
Taarifa hizi sasa ambazo tunazikusanya zinahusisha nchi za Dubai na tayari tunafanya mawasiliano na ubalozi wetu kufuatilia ukweli, pia tumebaini mmiliki wa sasa wa jiwe hilo yuko nchini Marekani na mawasiliano naye tumeshafanya tangu jana.
Tutapopata nyaraka za usafirishaji kama kweli limetoka Tanzania, thamani na asili, nyaraka za mauzo tutaleta taarifa bungeni na kama ni la kwetu niwahakikishie watanzania haki yao haitapotea.
Pia, soma=> Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje
=> Mali yetu inauzwa mnada wa Dubai Madini ya Ruby
View attachment 2195200
Upuuzi gani huu. Jiwe limetoka kinyemela tumejua likiwa sokoni nchi nyingine. Hapo utaweza kupata kitu? Na wakisema walikosea tu halijatoka kwetu mtaweza kufanya nini.
Hiyo ruby imetoroshwa kati ya 2016-19 wakati wa dikteta wa Chato ambaye alikuwa anajiamini kuwa analinda raslimali ya Taifa.Is this a justification?
Mpka linafika dubai na sasa lilipita wapi mamlaka husika zilikuwa wapiiiiiiii hadi wapate taaarifa mtandaonii🤔🤔🤔Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza kuhusu jiwe la Tanzania linalipigwa Dubai Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia.