Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

Hapa ndio naona ni Kwa nini Nyerere alitenganisha biashara na utumishi Kwa sababu ya mambo kama haya, hili jambo lazima linahusu wakubwa na wanajua sema tu wanakwepa kusema ukweli wacha majizi yatumalize mpaka siku mtanzania halisi atakapozaliwa maana Hawa waliopo ni kama nyumbu tu
 
Wizara wala serikali haina kumbukumbu zake/madini yanayotoka Tanzania Wasijiaibishe kiasi hiki.
 
Majangili yote yapo kwenye system
 
Angekuwepo wa jina lake hilo jiwe wangelitaga wezi na washirika wao alikuaga hana vita ndogo
 
... tulipata taarifa "kupitia mitandao ya kijamii". Mbona yule mwehu alitamani ifungiwe?
Kumbe alikuta unaoga akabeba nguo zako!, ulipomkimbiza akupatie nguo zako ukaonekana mwehu ni wewe mwenyewe!
Jiulize ni kwanini kila kona ni kicheko cha furaha eti diplomasia imefunguliwa??!

Tafakari sasa!
 
Mbona Mh. kaitaja wizara ya maliasili tena na nchi ya Dubai 🤣 tupo serious kweli
 
shamba la Bibi Tanzania Tiss wametingwa na kuilinda ccm badala ya territory and it's property
 
Upuuzi gani huu. Jiwe limetoka kinyemela tumejua likiwa sokoni nchi nyingine. Hapo utaweza kupata kitu? Na wakisema walikosea tu halijatoka kwetu mtaweza kufanya nini.
 
Upuuzi gani huu. Jiwe limetoka kinyemela tumejua likiwa sokoni nchi nyingine. Hapo utaweza kupata kitu? Na wakisema walikosea tu halijatoka kwetu mtaweza kufanya nini.

Washirikishe FBI au Scotland yard bila shaka wamikiki kinyemela watakubali kukaa mezani yaishe.
 
Tunanganga na jiwe la bilion 240 wakati kuna migodi himo humu ndani tena mikubwa haitupi mapato sahihi kulingana na uzalishaji wao
 
Najaribu kuunga dot dot kama zitakuja ya kua, au jiwe lilienda kipindi kile yule waziri X alivyoenda Dubai kikazi kusaini sijui mikataba ya nini?mara baada ya kuteuliwa ktk wizara ya Nishati na Madini (Ruby nalo si madini)
 
Utakuta hilo jiwe limeuzwa na mchimbaji sh laki 3 aliyenunua nae kaenda muuzia mthailand milioni 6, mthailand nae kaenda uza Dubai bilioni moja.
 
Hilo jiwe mbona dogo yapo mengi makubwa zaidi ya hayo. Sema wachimbaji wana siri kubwa Sana juu ya madini wayapatayo.
 
Mpka linafika dubai na sasa lilipita wapi mamlaka husika zilikuwa wapiiiiiiii hadi wapate taaarifa mtandaonii🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…