M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Wakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za binadamu.
Sijui Daily News mnafeli wapi ninyi watu?
Aibu!!
Sijui Daily News mnafeli wapi ninyi watu?
Aibu!!