pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hao ndio ccm bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huko china wanatangazaMara Brazil kamwiga fulani kutotangaza takwimu. Brazil huyo huyo akiamua vinginevyo baada ya kuona usiri siyo dili, kimya! Utafikiri si wao walisema.
Hamna cha shule wala nini. Upuuzi tu na hiyo "snubbing" yako ya ufipa.Inataka shule kidogo mkuu. Hakuna mtulinga hapo. Na pia sio kila anaemkosoa Magu ni ufipa mkuu. Unataka kusema Magu ni rais wa wanaccm tu?
Hiyo account sio verified!Wakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za binadamu.
Sijui Daily News mnafeli wapi ninyi watu?
Aibu!!
View attachment 1478660
Kama tiibiisii waliwahi kutulisha habari kuwa Trump kampongeza Jiwe utashangaa vipi hao hao maana ni kulwa na DottoWakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za binadamu.
Sijui Daily News mnafeli wapi ninyi watu?
Aibu!!
View attachment 1478660
Account yao official ipo verified.endelea kusubiri verification..
Mimi nimebase upande wa account. Hiyo sio official account!lini na wapi walipokanusha kuwa hii ni "fake news"?
Wakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za binadamu.
Sijui Daily News mnafeli wapi ninyi watu?
Aibu!!
View attachment 1478660
Kiingereza kimewachanganya.ni shida!