Si unajua tena news za kuchonga ili tu mtu fulani asifike ni deal-umesahau wale wa TBC? Humu JF ndio kila siku kuna stori kama hizo -"fulani amuiga fulani" ili mradi huyo fulani aonekane ni genius extra ordinary.Sijui Daily News mnafeli wapi ninyi watu?
😁kweli
Wakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za binadamu.
Sijui Daily News mnafeli wapi ninyi watu?
Aibu!!
View attachment 1478660
Mungu wabariki WazunguWakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za binadamu.
Sijui Daily News mnafeli wapi ninyi watu?
Aibu!!
View attachment 1478660
Wanaishia kuchungulia na kusepaaaa[emoji23]Hapa hutowaona akina magonjwa mtambuka hahahaha
Walikuwa wanamrudishia sifa na utukufu Yesu wa CCMWakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za binadamu.
Sijui Daily News mnafeli wapi ninyi watu?
Aibu!!
View attachment 1478660
Wakudadavua, Mudawote, Kawe alumn, TumainE, Jothnthebaptist, kipra kipya, stroke, Jingalao et alHapa hutowaona akina magonjwa mtambuka hahahaha
Huyo yesu unaye mmaanisha anaandikwa kwa herufi ndogo.Walikuwa wanamrudishia sifa na utukufu Yesu wa CCM