Wizara ya Maendeleo Norway yakanusha taarifa ya Daily News kuhusu Tanzania na mapambano dhidi ya COVID-19

A skunk country according to mbeba maono Rais ajae 2020 Mheshimiwa Tundu Lissu
 
Mbona sioni mahali wakikanusha, au ndio tafsiri ya ufipa?
Kuna kitu kinaitwa "snubbing". Kidiplomasia, na katika lugha za wenzetu, inahitaji "exposure" kuelewa nini kinaongelewa. Hivyo haishangazi umeambulia patupu
 
Kuna kitu kinaitwa "snubbing". Kidiplomasia, na katika lugha za wenzetu, inahitaji "exposure" kuelewa nini kinaongelewa. Hivyo haishangazi umeambulia patupu
Hiyo ni tafsiri ya ufipa haswa. Eti sijui "snubbing" sijui nini, upuuzi mtupu.
 
Kumbe we mburula kiasi hiki! Loh! Kwani kusisitiza uwazi na kulinda haki za binadamu ndio wakazima mic wahawezi kuwa waliendelea na mazungumzo ambayo yalifikia kuisifu Tanzania na mwandishi akaamua kuichukua hiyo Kama angle yake ya kutolea habari?

Hivi hizi mimba za chuki mtazi fanyia abortion lini?
 
Nn maoni yako sasa
 
UFIPA KUNA SHIDA KUBWA SANA, SASA HAPA KILICHOKANUSHWA NI NINI?
HAPA NAONA BALOZI AMEWEKA MSISITIZO KWENYE MAENEO WALIYOZUNGUMZA NA KABUDI.HAKUNA MAHALI WALIPOKANUSHA KUISIFIA SERIKALI.
 
Najiuliza hivi kweli ndio sijui Kiingereza? Nalitafuta kanusho. Labda ndio lugha ya kidiplomasia.
 
Wapi walipo kanusha hapo aiseee achen mambo ya ajabu
 
Kwa kweli natakiwa nirudi kwenye shule ya kiingereza...kwenye post ya kwanza ya uzi huu sijaona "maneno" ya kukanusha habari ya Daily News kutoka kwa huyo mnorway! Nisaidieni kunionyesha.
 
Najiuliza hivi kweli ndio sijui Kiingereza? Nalitafuta kanusho. Labda ndio lugha ya kidiplomasia.
background ni mazungumzo yaliyofanyika kati ya Kabudi na representative wa Norway govt.

Daily News wanasema katika mazungumzo hayo tumesifiwa kwa mikakati makini katika mapambano dhidi ya COVID-19.

kwa upande wa Norway kupitia wizara yao ya maendeleo wamesahihisha taarifa ya Daily News kwa kusema "hapana, sisi tulisisitiza umuhimu wa serekali kuwa na uwazi na kutenda haki za binadamu".

usiri katika utoaji wa taarifa zinazohusiana na COVID-19 pamoja kukandamiza wanaotoa taarifa za kweli ni udhaifu wa serekali ambao kila Mtanzania anaujua.

kipi kisichoeleweka hapo ndugu? au na hili mnataka awatafsirie yule "yesu wenu wa Chamwino"?
 
Hiyo ni tafsiri ya ufipa haswa. Eti sijui "snubbing" sijui nini, upuuzi mtupu.
Inataka shule kidogo mkuu. Hakuna mtulinga hapo. Na pia sio kila anaemkosoa Magu ni ufipa mkuu. Unataka kusema Magu ni rais wa wanaccm tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…