Wizara ya Maendeleo Norway yakanusha taarifa ya Daily News kuhusu Tanzania na mapambano dhidi ya COVID-19

Kwani
Mara Brazil kamwiga fulani kutotangaza takwimu. Brazil huyo huyo akiamua vinginevyo baada ya kuona usiri siyo dili, kimya! Utafikiri si wao walisema.
Kwani huko china wanatangaza
 
Hivi yeye mwenyewe hasikii, haoni Wala kuhisi hujuma anazofanyiwa na Hawa anaowaita wasaidizi wake aliowateua?
Mh. Magu shituka na litupe Hilo blanketi walilokufunika nalo kwani Lina kila aina ya chawa, kunguni, viroboto na funza wanaokunyonya ili kujaza matumbo yao kisa wanakusumbua wimbo uupendao!
Mwisho wa siku atakayenyooshewa kidole na kusemwa vibaya ni wewe na wao watakuwa sehemu ya wanyoosha vidole na kuzomea!
Wanakuharibia kwa makusudi marafiki waliotafutwa na mwl. Nyerere kumsaidia kuujenga uchumi ambao wameendelea Hadi Sasa. Uharibifu huu wa diplomasia utalikosti taifa siku za mbeleni kwani tutakavyozalisha tutakosa wa kumuuzia! Amka na kemea hao wanyonyaji wapya wanaojificha nyuma yako!
 
Inataka shule kidogo mkuu. Hakuna mtulinga hapo. Na pia sio kila anaemkosoa Magu ni ufipa mkuu. Unataka kusema Magu ni rais wa wanaccm tu?
Hamna cha shule wala nini. Upuuzi tu na hiyo "snubbing" yako ya ufipa.
 
Hiyo account sio verified!
 
Kama tiibiisii waliwahi kutulisha habari kuwa Trump kampongeza Jiwe utashangaa vipi hao hao maana ni kulwa na Dotto
 
ni shida!
Kiingereza kimewachanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…