Wizara ya Maji anzeni kutumia maji ya mito mikubwa iliyo chini ya ardhi kama hii ya juu ina ukame

Tatizo ni ccm, bila kuiondowa ccm haya hayawezi kufanyika.

Hakuna jipya uliloandika kwenye huu uzi wako ambalo halijurikani.

Dar sehemu nyingi wanategemea maji ya visima hata hiyo Dawasa hawaijui.

Ukienda Mbagala hakuna shida ya maji na hawaijui Dawasa, tatizo ni ccm.
Muarobaini wa matatizo ya nchi ni kuiondowa ccm au kuifuta kabisa kwa sababu ccm siyo chama cha siasa, bali ni kikundi cha kigaidi.
CCM wanagawana posho pekee
 
Ziwa Victoria litasambaa nchi nzima?
Lake Victoria ina karibu eneo la 60,000 square kilometres(60 billion square metres), na katika miaka ya karibuni, ujazo ya ziwa umeongezeka kwa karibu mita mbili!
Sasa tunakuachia imagination yako kuwa hayo maji ni kiasi gani!!!!
 
We ongea ongea hapa mwezi wa 7 mwakani mtasema ziwa linakauka, nyie CCM ni kama mbuzi, hakuna mtu kama JPM amekufa leo hakuna kama SSH
 
Wakimuachilia Mbowe tu mvua itaanza kunyesha
 
Lake Victoria ina karibu eneo la 60,000 square kilometres(60 billion square metres), na katika miaka ya karibuni, ujazo ya ziwa umeongezeka kwa karibu mita mbili!
Sasa tunakuachia imagination yako kuwa hayo maji ni kiasi gani!!!!
Kina si kimepungua,mchanga na tope jingi bila kuondoa tope na mchanga mbeleni huko tutagawa viwanja ziwa likikauka
 
Tatizo la Tanzania na nchi za kuafrika si vyama vya siasa Waka elimu duni la.Kielimu tumekuwa tukipeleka wasomi kibao kusoma nchi Zilizoendelea kwa scholarship na kusomesha wenyewe best colleges wanakisoma hao mababe wa dunia

Lakini wakirudi yanawaza tu yatapata Nini?

Wenzetu Ulaya na Marekani wanapenda reputation zaidi kuwa yule kagundua hiki mpigieni makofi

Sisi huku kila mtu awe CCM au upinzani hata awe mtaalamu vipi anataka madaraka afisadi au ubunge .Proffession anatupilia mbali in exchange of money !!!!
Anakwambia Mimi siwezi kula reputation I need money!!!

Wenzetu huko walishavuka money only sio kichocheo Cha wao ku perform more

Billy Gates Ni Bilionea pesa alizonazo aweza kula yeye na familia yake bila kufanya kazi yeyote kwa miaka 1000.lakini kwa siku hulala masaa manne tu anachapa kazi na kugundua new products za Microsoft .Angekuwa Mswahili angesema Mungu anipe Nini haka napumzika nitumbue maisha

Umaskini mbaya Sana proffessional s Wana compromise Proffession kwa vipande vya fedha Kama Yuda Iscariote kwenye Biblia
Welldone mkuu well said!!ungekua jirani nami tungeenda for a coffee together but tutatafutana mkuu soon
 
Tanzania ibahatika kuwa na maji mengi Sana Kuna yaliyo chini ya ardhi ambayo wengi huchimba visima

Lakini pia chini ya ardhi Kuna maeneo Yana maziwa makubwa yenye maji ambayo hutuama kwenye miamba aridhini.Mvua zikinyesha maji hutuama huko chini na kuweka reserve kubwa ya Maji ambazo hajijaguswa

Pia Kuna mito mikubwa sana mingi chini ya Ardhi ambayo huwa na chemichemi zake za ndani kwa ndani aridhini hutiririka bure na kwenda kumwaga maji baharini chini ya ardhi

Mfano Mbeya pale Igurusi kuna mto mkubwa unapita pale chini ya ardhi ambao maji yake huenda kuyamwaga baharini Cape Town Africa ya kusini

Kuna maeneo mengine kama rufiji pia kuna jito kubwa sana chini ya ardhi

Maeneo kama posta Mpya Dar es Salaam chini kuna mto pia iko mingi nchi nzima

Wataalamu wetu wa Hydrolojia na wataalamu wa geolojia waweza saidia hii nchi kwenye Hilo badala ya kuachia wanasiasa wanaoenda tu kukodolea macho mito na kusema ohhh hakuna maji ukame mtupu.

Ohhh Wananchi jiandaeni kwa mgao wa majii. Ni kama mwanasiasa kumkodolea tu macho mgonjwa bila kutumia kipimo chochote cha kitaalamu halafu anatangaza kuwa huyu mgonjwa ana malaria!

Wataalamu ingieni kazini
Ni kweli kuwa kuna maji chini ya ardhi ambayo hupatikana kwa kuchimba visima, lakini si kweli kuwa kuna mito na maziwa ya maji chini ya ardhi! Hivyo taarifa yako hii inaweza kupotosha wengi!
 
Si ajabu hiyo wizara yenyewe haijui kama kuna kitu kinaitwa mito ya ardhini.
 
Tatizo sio chama Ni watendaji serikalini wengi wao Ni business as usual tu.Anaenda ofisini kusaini na kurudi nyumbani tu

Hata Chadema ingeshika watendaji Kama Ni hao hao waliopo usitarajir maajabu
Tatizo ni chama kimejaa watu wasio na maono ya maendeleo, wao wanchujua ni kufanya teuzi na kusifiana

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Tanzania na nchi za kuafrika si vyama vya siasa Waka elimu duni la.Kielimu tumekuwa tukipeleka wasomi kibao kusoma nchi Zilizoendelea kwa scholarship na kusomesha wenyewe best colleges wanakisoma hao mababe wa dunia

Lakini wakirudi yanawaza tu yatapata Nini?

Wenzetu Ulaya na Marekani wanapenda reputation zaidi kuwa yule kagundua hiki mpigieni makofi

Sisi huku kila mtu awe CCM au upinzani hata awe mtaalamu vipi anataka madaraka afisadi au ubunge .Proffession anatupilia mbali in exchange of money !!!!
Anakwambia Mimi siwezi kula reputation I need money!!!

Wenzetu huko walishavuka money only sio kichocheo Cha wao ku perform more

Billy Gates Ni Bilionea pesa alizonazo aweza kula yeye na familia yake bila kufanya kazi yeyote kwa miaka 1000.lakini kwa siku hulala masaa manne tu anachapa kazi na kugundua new products za Microsoft .Angekuwa Mswahili angesema Mungu anipe Nini haka napumzika nitumbue maisha

Umaskini mbaya Sana proffessional s Wana compromise Proffession kwa vipande vya fedha Kama Yuda Iscariote kwenye Biblia
Ushauri gani wa kitaalamu umewahi kuzingatiwa nchi hii?

Unakumbuka kuwa watu wenye akili aalipiga kelele ujenzi wa bwawa la umeme ulioenda sambamba na ukataji wa miti huku tukiwa hatuna uhakika wa vyanzo vya maji vya kutosha?

Unajua nyinyi wafia chama mliwadhihaki hao watu ila leo imnaimba wimbo wa upungufu wa maji bla bla nyingi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kuwa kuna maji chini ya ardhi ambayo hupatikana kwa kuchimba visima, lakini si kweli kuwa kuna mito na maziwa ya maji chini ya ardhi! Hivyo taarifa yako hii inaweza kupotosha wengi!
Google usibishe kitu usijcua nenda Igurusi Mbeya mkono wa kushoto ukienda Mbeya karibu na kituo Cha kusukuma mafuta Cha Tazama Pipeline ushuhudie

Tatizo la kuwa desk officer ukiwa hata na digrii ya engineering ndio Hilo . Engineer Wenzetu havai suti anakuwa Field

Sasa ona wewe waweza kuwa water engineer lakini bwege Hizo degree muwe mnaelewa mnachosoma ona huu ujinga ulioandika loo
 
Ee Mungu hivi wewe ulipata degree kihalali? Google walau u prove kuwa Uko stupid na degree wakiokupa walikosea
 
Wajinga kiwango chako wanapatikana tu serikalini sio sekta binafsi ndio maana mtu kana wewe Baki huko huko serikalini ukikanyaga hata interview ya sekta binafsi ukajibu hiki ukichoandika interview pay nzima watainuka kukutandika makofi kwa kuwapotezea muda kuku interview bwege Kama wewe
 
Tanzania ibahatika kuwa na maji mengi Sana Kuna yaliyo chini ya ardhi ambayo wengi huchimba visima

Lakini pia chini ya ardhi Kuna maeneo Yana maziwa makubwa yenye maji ambayo hutuama kwenye miamba aridhini.Mvua zikinyesha maji hutuama huko chini na kuweka reserve kubwa ya Maji ambazo hajijaguswa

Pia Kuna mito mikubwa sana mingi chini ya Ardhi ambayo huwa na chemichemi zake za ndani kwa ndani aridhini hutiririka bure na kwenda kumwaga maji baharini chini ya ardhi

Mfano Mbeya pale Igurusi kuna mto mkubwa unapita pale chini ya ardhi ambao maji yake huenda kuyamwaga baharini Cape Town Africa ya kusini

Kuna maeneo mengine kama rufiji pia kuna jito kubwa sana chini ya ardhi

Maeneo kama posta Mpya Dar es Salaam chini kuna mto pia iko mingi nchi nzima

Wataalamu wetu wa Hydrolojia na wataalamu wa geolojia waweza saidia hii nchi kwenye Hilo badala ya kuachia wanasiasa wanaoenda tu kukodolea macho mito na kusema ohhh hakuna maji ukame mtupu.

Ohhh Wananchi jiandaeni kwa mgao wa majii. Ni kama mwanasiasa kumkodolea tu macho mgonjwa bila kutumia kipimo chochote cha kitaalamu halafu anatangaza kuwa huyu mgonjwa ana malaria!

Wataalamu ingieni kazini
Safi sana, Mkuu YEHODAYA kwa ushauri maridhawa! [emoji109][emoji120]
 
Google usibishe kitu usijcua nenda Igurusi Mbeya mkono wa kushoto ukienda Mbeya karibu na kituo Cha kusukuma mafuta Cha Tazama Pipeline ushuhudie

Tatizo la kuwa desk officer ukiwa hata na digrii ya engineering ndio Hilo . Engineer Wenzetu havai suti anakuwa Field

Sasa ona wewe waweza kuwa water engineer lakini bwege Hizo degree muwe mnaelewa mnachosoma ona huu ujinga ulioandika loo
Sikujua kuwa una ujinga mkubwa kiasi hiki! Hebu onyesha hiyo Google inayoonyesha mito na maziwa chini ya ardhi! Kubishana na wewe ni kujifedhehesha kwa sababu unaonyesha hata shule ya msingi ulikuwa msindikizaji! Kwa kujiokoa ukaona uwe unalamba nyayo za viongozi wa siasa!
 
Ee Mungu hivi wewe ulipata degree kihalali? Google walau u prove kuwa Uko stupid na degree wakiokupa walikosea
Ujinga ndiyo mtaji wako! Baki hivyo hivyo tena peke yako usiambukize hata watoto wako!
 
Wajinga kiwango chako wanapatikana tu serikalini sio sekta binafsi ndio maana mtu kana wewe Baki huko huko serikalini ukikanyaga hata interview ya sekta binafsi ukajibu hiki ukichoandika interview pay nzima watainuka kukutandika makofi kwa kuwapotezea muda kuku interview bwege Kama wewe
Kuhamaki kwako ndiyo kunaonyesha udhaifu wa akili katika ubongo wako! Hatuna namna ya kukusaidia afadhali ungepungukiwa damu tungekusaidia lakini siyo akili kichwani!
 
Tatizo ni ccm, bila kuiondowa ccm haya hayawezi kufanyika.
tatizo ni ccm.
Muarobaini wa matatizo ya nchi ni kuiondowa ccm au kuifuta kabisa kwa sababu ccm siyo chama cha siasa, bali ni kikundi cha kigaidi.
Hapa duniani, hakuna kitu kizuri kama ukweli, kuukubali ukweli jinsi ulivyo. Na hakuna kitu kibaya kama kujipa matumaini hewa, siku zote, mtu ikiishi kwenye matumaini hewa, uta end up frustrated!.
Hebue tuelezane tuu ukweli bayana, uiondoe CCM halafu umuweke nani?, au chama gani?. Endelea tuu kujifariji, lakini wale wanaopenda ukweli, ukweli ni huu
P
 
Tatizo ni ccm, bila kuiondowa ccm haya hayawezi kufanyika.

Hakuna jipya uliloandika kwenye huu uzi wako ambalo halijurikani.

Dar sehemu nyingi wanategemea maji ya visima hata hiyo Dawasa hawaijui.

Ukienda Mbagala hakuna shida ya maji na hawaijui Dawasa, tatizo ni ccm.
Muarobaini wa matatizo ya nchi ni kuiondowa ccm au kuifuta kabisa kwa sababu ccm siyo chama cha siasa, bali ni kikundi cha kigaidi.

Sasa mbona hatuna mbadala ukimuweka zitto na ACT yake tunauzwa asubuhi mapema, ukiiweka chadema wataanza kujenga chama nchi nzima na sio kujenga nchi, Tatizo la msingi ni kwa watanzania karibu wote iwe watendaji wa ofisini au makampuni binafsi yaani hatupendi kazi na tulilemazwa na ujamaa, na Position inayofanya maisha kua rahisi sababu nchi yetu iko pazuri kiasili lakini watendaji wa nchi hii huturudisha nyuma sana. Nchi hii ambayo Raia tu hatutimizi wajibu wetu yaani kijana saa tatu asubuhi ashafika kuanza kucheza pooltable utegemee tutaendea kuna wakati tusiwalaumu ccm wakati hata sisi ni tatizo pia
 
Tatizo sio chama Ni watendaji serikalini wengi wao Ni business as usual tu.Anaenda ofisini kusaini na kurudi nyumbani tu

Hata Chadema ingeshika watendaji Kama Ni hao hao waliopo usitarajir maajabu
Dawa ni katiba mpya
 
Back
Top Bottom