Watanzania tukiwa tunatembea tunavuta miguu kama tumeliwa na funza na unaweza kusalimia mtaa mzima, kazi tunafanya masaa machache muda mwingi ni mapumziko kwahiyo tubadilike na watendaji hivo hivo wao nikujivuta tuu na kuandaa sera ambazo hazitekelezeki kwa wakati na ubunifu zero tatizo linaanzia hapo