Wizara ya Maji na DAWASA wanampotosha Rais

Anapotoshwa kila sehemu ndugu!
Sasa hatujuwi waliomzunguka nawo hawataki au wapuuzi puuzi tu na hawajuwi kazi yao au lah.
Ukizungukwa na wajinga wajinga lazima ufeli kwenye uongozi na maisha.
Inasikitisha mno mno.
 
Si kupotoshwa tu bali kudanganywa pakubwa.. Ule mradi ni kweli kisima kimekamilika lakini mtandao wa mabomba bado kabisa

Wakazi wenyewe wa Kibada uliopo mradi hakuna hata mmoja ambaye ameshaunganishiwa hayo maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…