Wizara ya Maji yaomba Bajeti ya Tsh. 709,361,607,000

Wizara ya Maji yaomba Bajeti ya Tsh. 709,361,607,000

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameomba Bunge kuidhinisha Fedha hizo kwa Mwaka 2022/23 ambapo Matumizi ya Kawaida ni Tsh. 51,462,269,000

Akiwasilisha Hoja yake Bungeni Waziri Aweso amesema "Jumla ya Bajeti ya Maendeleo ni Tsh. 657,899,338,000. Kati ya hizo, Tsh. 407,064,860,000 ni Fedha za Ndani na 250,834,478,000 ni Fedha za Nje"

Aidha, amesema Tanzania haina uhaba wa Maji, na uwekezaji zaidi katika Miundombinu unafanyika ili kukabiliana na Mabadiliko ya TabiaNchi
 
Kudadeki,

Eti tanzania haina uhaba wa maji,

Halafu hiyo bajeti mbona kidogo sana kwa wizara ya maji
 
Back
Top Bottom