Atakaye msimika ni nani mwamba?Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Mwamba siku Akiwekwa Wizara ya Mambo Ya Ndani ya Nchi .
kwa Hakika Nchi itatetemeka na kishindo chake kitatikisa kuta za Whitehouse Marekani.
Na Kila Mmoja atakaa Mguu Sawa.
Timu ya Rais Samia Ya Baraza la Mawaziri ni nzuri sana na imesheheni wachezaji wenye vipaji vya uchezaji.
Sasa Hapa Kuna wachezaji Ambao kuna Namba ukiwapanga . Ni lazima Majukwaa ya mashabiki yawe na msisimko wa kipekee.
Sasa Huyu Mwamba Paul Makonda Kwa Haiba yake na Mambo yake akitokea Kasimikwa Kwenye Wizara Hiyo ya Saluti. Heee Sijui . Ngoja nikae kimya tu nisimalize Utamu Wa Habari.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Itakuwa akiunguruma Mpaka mashirika ya Habari kama CNN au BBC au Aljazera Yatakuwa Yanaripoti kama Habari kuu kwenye TV zao.
Yaani CCM ina Hadhina ya wachezaji Mpaka unashindwa nani akae wapi na nani aanze kikosi cha kwanza. Yaani wote ni mastaa Hatari na wenye kasi ya hatari kwelikweli.
Mwamba Mwenyewe Huyu HapaView attachment 3563782
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Amiri Jeshi Mkuu wetu Kipenzi cha watanzania na Bara zima la AfrikaAtakaye msimika ni nani mwamba?
Ndugu zangu Watanzania,

ili awaambie watu walale saa 12 jioni! ana damu mbaya sana huyu kifo chake itabidi azikwe futi 10!Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Mwamba siku Akiwekwa Wizara ya Mambo Ya Ndani ya Nchi .
kwa Hakika Nchi itatetemeka na kishindo chake kitatikisa kuta za Whitehouse Marekani.
Na Kila Mmoja atakaa Mguu Sawa.
Timu ya Rais Samia Ya Baraza la Mawaziri ni nzuri sana na imesheheni wachezaji wenye vipaji vya uchezaji.
Sasa Hapa Kuna wachezaji Ambao kuna Namba ukiwapanga . Ni lazima Majukwaa ya mashabiki yawe na msisimko wa kipekee.
Sasa Huyu Mwamba Paul Makonda Kwa Haiba yake na Mambo yake akitokea Kasimikwa Kwenye Wizara Hiyo ya Saluti. Heee Sijui . Ngoja nikae kimya tu nisimalize Utamu Wa Habari.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Itakuwa akiunguruma Mpaka mashirika ya Habari kama CNN au BBC au Aljazera Yatakuwa Yanaripoti kama Habari kuu kwenye TV zao.
Yaani CCM ina Hadhina ya wachezaji Mpaka unashindwa nani akae wapi na nani aanze kikosi cha kwanza. Yaani wote ni mastaa Hatari na wenye kasi ya hatari kwelikweli.
Mwamba Mwenyewe Huyu HapaView attachment 3563782
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha unafiki,uongo,uzushi na upashikunaili awaambie watu walale saa 12 jioni! ana damu mbaya sana huyu kifo chake itabidi azikwe futi 10!
amejaa damu za watu! na atazilipa sooon
Embu sogea hapo uulize mambo aliyoyafanya uone namna Watu wanavyomkumbukaHebu tuwe serious.
Makonda yupo serikalini kitambo sasa.
Sema hapa Alipokuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni alifanya yapi ya kukumbukwa? Alipokuwa Rc Dar anakumbukwa kwa yapi ya maana ? Arusha je alifanya lipi?
Chawa mwandamizi ktk ubora wake!Unapata hela kwa njia ngumu sana
Ni mchapakazi sana na wala hafanyi kazi kwa kutafuta sifa binafsi.Anapenda sifa sana