BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Hivi posho wanalipa huko depo kwa upande wa polisi ?maana jkt walikuw wanatoa kiasiKaka nimekwambia kabisa mshahara unatofautiana kaka kama wewe ni doctor yaani MD unalipwa 1.5 milioni ,kwa aliesoma IT au Engineering 990000 na kwa degree za art ni 860000
NdioHivi posho wanalipa huko depo kwa upande wa polisi ?maana jkt walikuw wanatoa kiasi
Kuna MTU aliuliza kama mshahara wa form4 na degree n tofauti nazan post yako imejibu hilo swaliKaka nimekwambia kabisa mshahara unatofautiana kaka kama wewe ni doctor yaani MD unalipwa 1.5 milioni ,kwa aliesoma IT au Engineering 990000 na kwa degree za art ni 860000
@goncaloSamahan kwa kuuliza tena boss, hiyo 960k umesema ni pamoja na professional allowance, my qn is professional allowance inakuwa sawa kwa wote au ina vary? Na kuna ambao wanapata zaidi ya hiyo?
Pili sina uzoefu sana kwa polisi ila Kwa nnavyoona pia naona kuna utofauti mkubwa kati ya JWTZ na majeshi mengine kwenye upandaji wa vyeo..naona kama JWTZ kupanda vyeo ni haraka zaidi ila polisi hata kama una elimu nzuri unaweza sota miaka au inakuaje hapo?Kama unaufahamu tafadhali nielimishe kwa hili
Tatu, kwa jeshi kama polisi, kuna nafasi ya kuendeleza professional yako ukiingia huko yan wakakuruhusu kwenda kusoma au itategemea na uhitaj wao zaidi?
Wapo sana mbona.Kaka !! Kwenye maish ya sasa hivi hakuna anaezikimbia trust me.
Hahahaha.acha kulia lia jeshi lipeleke wapi wasomi.wasomi mkawe mainjinia huko mjenge mabarabar ambuni miradi mjiajiri si mmesoma nyie .acheni majeshi ni ya wasiosoma
Kwani hapo anatakiwa mtu asie na uwezo wa kuhoji, wala kutafakari kwa kina agizo!!!!! hii ni mbaya sanaYan hapo LA kwa magereza kwakuwa post zao huwa zipo general ila uhamiaji na fire constable Mara nyingi huwa n form4 aise
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hili linahusu nn na mada hii?Wewe mtoto sio ridhiki.
Mungu Akusamehe.
kila level ya elimu inakuwa na limit ya umri mfano form 4 mwisho 23yrsTatizo vijana hawajui kutafuta ajira. Mtu anataka form 4 na wewe una degree, tatizo liko wapi? Si unaonesha cheti cha form four tu. Kwanini kuji aggrandise kuwa una degree ambayo itakutupa nje ya ulingo.