Tetesi: Wizara ya Mambo ya ndani kupitia Idara ya Uhamiaji yapiga "stop" utoaji wa Passport

Ccm ni ile ile... Ni ile ile[emoji443] [emoji341] [emoji450]wameipenda wenyewe [emoji341] [emoji448] [emoji344] [emoji449] [emoji445] [emoji445] [emoji444] wacha waisome nambaaa[emoji382] [emoji445] [emoji450] [emoji449] [emoji448] [emoji449] [emoji352] [emoji382] [emoji344] [emoji353]
Ccm mbele kwa mbelee[emoji448] [emoji450] [emoji341] [emoji341] [emoji445]
 
Daah,sasa mimi ntasubiri hadi lini au wanataka tukomae humuhumu tusiende kutalii kwa wenzetu...wafanye wamalize haraka huo mchakato
 
JK aliwezaje kuendesha hii nchi, me naomba huyu mzee aitwe atoe ushauri kwa hii serikali na atupe best practices ya jinsi alivyoweza ku'manage yote haya.
 
Mbele kwa mbelee.......wachaa waisome no eeeeee....
 
Jk ni wa kweli
Niliposhindwa kumuelewa sasa naaprojaiz kwake na kwa GOD
 
Pasipoti ni kitu muhimu sana sema walioshika mpini wanaona sawa tuu,Kuna wagonjwa na waliopata kazi nje au wanaotafuta kazi Nje ya Nchi wote hawawezi fanya kazi Tanzania tu haya makaratasi tuu yanatushinda tutaweza kuwa na Viwanda kweli...
 
Hata baada ya Miaka 50 na ushee ya Uhuru suala la Passport bado ni tatizo?
 
Tatizo la watu wakishakula ugali wa bure ikul na familia zao ziko well off on taxpayers hawajali watanzania wenzao. Shibe mbaya sana.

Paspoti ni haki ya kila MTANZANIA kupata bila bughudha.
 
Kijana mmoja aliwahi niuliza atii tz passport zinapatikana kwa ulahisi, yaani iliniuma sana ,inawezekana wengi wa wageni wanaishi ulaya wakiwa na passport za tz..

Lazima Mkuu apange upya eneo hilo kama itathibika kuna tatizo..jamani Uzalendo kwanza wabongo
 
JK aliwezaje kuendesha hii nchi, me naomba huyu mzee aitwe atoe ushauri kwa hii serikali na atupe best practices ya jinsi alivyoweza ku'manage yote haya.

Watu husema mwanamke hatakiwi kubanwa kupita kiasi au kuchungwa huwa anajichunga mwenyewe tu.

Sasa ukimchunga na kumbana sana madhara yake huwa ni makubwa na hata mapenzi juu yako hupungua kwa asilimia kubwa kabisa.
 
JK aliwezaje kuendesha hii nchi, me naomba huyu mzee aitwe atoe ushauri kwa hii serikali na atupe best practices ya jinsi alivyoweza ku'manage yote haya.
JK hakutumia muujiza wowote, tatizo la huyu ana kisasi na wananchi wake haya ndio matokeo yake.

Kwani hata kupeleka mablangeti na mahema kule Bukoba kwenye janga la tetemeko mnahitaji ushauri wa JK?
 
ndio mabadiliko tunayoyahitaji ,,,,kuwe na mifumo sahihi kwa ajili ya huduma muhimu.....csemi haikuwepo ila kulikuwa na wajanja wachache waliokuwa wameingilia mfumo...xo tuache serikali warekebishe na kuwabana wote
 
Watanzania msiwe na khofu,passport za sudan kusini hauulizwi chochote,somalia unapata kwa siku mbili,uganda ni kama karanga, kenya ni mlungula wako tu, na zote ni kama zabongo viza ziko palepape tofauti ni rangi za vitabu, unaweza kununua ya burundi kwenye amazon dot com...yanini malumbano bwana.kwanza kama unaishi zanzibar passport ya nini unanunua mtumbwi wako siku unataka kusafiri bahari haina mwisho.
 
Hii nchi sijui. Naona kama Tanzania ina matatizo ambayo mengi inatokana na ujinga.

Makosa ya waliokuwa wanasimamia passport na kuzidi kwa passport fake kwanini ilete adhari kwa kila mtu? Na huwezi kusikia hao waliokuwa wanasimamia wamepewa adhabu kwa matatizo haya bali adhabu yake inamkuta raia wa kawaida wengine hawana hatia wanahitaji passport kwa shughuli zao zinazostahili kupata passport. Passport ni haki kwa kila raia. Je kama mtu ana scholarship? Na huu ndio msimu wa Postgraduates kurudi masomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…