thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Kalaghabhahomambo ya nje anakwenda kutoboa vizuri sana,
Kijana yuko bright sana halafu smart sana kwenye masuala hasa yanayoendana na taaluma yake kwa kiasi fulani,
Kwenye wizara hii anakwenda kurekebisha na kufuta madhaifu yake yote yaliyonekana alipokua kwenye wizara nyingine huko nyuma,
wizara hii inakwenda kutia fora this time katika utendaji...
khanyamakhandasiKalaghabhaho
Hakuna kijana hapo, Kijana hawezi kumiliki uwalaza kama ule, huyo ni dingi kama madingi wengine!Mambo ya nje anakwenda kutoboa vizuri sana.
Kijana yuko bright sana halafu smart sana kwenye masuala hasa yanayoendana na taaluma yake kwa kiasi fulani.
Kwenye wizara hii anakwenda kurekebisha na kufuta madhaifu yake yote yaliyonekana alipokua kwenye wizara nyingine huko nyuma.
wizara hii inakwenda kutia fora this time katika utendaji...
Naunga mkono hojaHakuna kijana hapo, Kijana hawezi kumiliki uwalaza kama ule, huyo ni dingi kama madingi wengine!
Bibi yenu ni anguko la ufalme wa falme ya TanzaniaKijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa,kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho,hana muda wa kutafakari.
Sasa katoka Tanesco kachemka akiacha safu isio na matumaini mpaka kupelekea mkurugenzi mkuu na mwenyekiti wa bodi kung'oka.
Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko mambo ya nje, mlioko huko wizarani mambo nje ,kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.
Bila katiba mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Mbona watu mna wivu usio na ticha? Kabla yake ni nani alikuepo na akafanya nini? Haya kashatolewa nishati, je mmepata umeme? Tuepuke personality unapokua na matatizo yako usihamishie chuki zako kwa mtu. Serikali ni mifumo na si mtu mmoja. Sina interest na huyu mtu ila nimekua nikiona mara nyingi watu wakimshambulia yeye kama yeye. Kwani huyu kijana ana nguvu gani za kuyumbisha serikali? Basi kama serikali hii inaweza kuyumbishwa na mtu kuna mahali kuna tatizo kubwa na halimuhusu yeye kabisa.Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa,kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho,hana muda wa kutafakari.
Sasa katoka Tanesco kachemka akiacha safu isio na matumaini mpaka kupelekea mkurugenzi mkuu na mwenyekiti wa bodi kung'oka.
Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko mambo ya nje, mlioko huko wizarani mambo nje ,kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.
Bila katiba mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Uharibifu mkubwa alioufanya Tanesco sio wa kitoto,sio suala la kulala na kuamka zinduka wewe kapukuMbona watu mna wivu usio na ticha? Kabla yake ni nani alikuepo na akafanya nini? Haya kashatolewa nishati, je mmepata umeme? Tuepuke personality unapokua na matatizo yako usihamishie chuki zako kwa mtu. Serikali ni mifumo na si mtu mmoja. Sina interest na huyu mtu ila nimekua nikiona mara nyingi watu wakimshambulia yeye kama yeye. Kwani huyu kijana ana nguvu gani za kuyumbisha serikali? Basi kama serikali hii inaweza kuyumbishwa na mtu kuna mahali kuna tatizo kubwa na halimuhusu yeye kabisa.
Nasikia analeta wawekezaji wa smartphone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutoka india ma lope bwana mambo yake utafikri yupo vizuri sana kumbe hamna kituKijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.
Sasa katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka.
Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko Mambo ya Nje, mlioko huko Wizarani Mambo Nje, kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.
Bila Katiba Mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Uliwahi kuona wapi bundi akatua Mahali popote mchana asifurushwe na ndege wa Nuru?Duh mbona kila February akienda mnamuandama...
Ova
Kumbuka anatoka Tanga, waenda leo kurudi majaaliwaKijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.
Sasa katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka.
Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko Mambo ya Nje, mlioko huko Wizarani Mambo Nje, kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.
Bila Katiba Mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Unajua padogo sana aiseeKijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.
Sasa katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka.
Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko Mambo ya Nje, mlioko huko Wizarani Mambo Nje, kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.
Bila Katiba Mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Kwa mistari miwili?Unajua padogo sana aisee
Foreign ni kitu ingine
Yule ni msambaa, ni waongoKijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.
Katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka.
Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko Mambo ya Nje, mlioko huko Wizarani Mambo Nje, kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.
Bila Katiba Mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Nadhani hii inadhihirisha huna hoja ya msingi. Hawa ndo great thinker wanaomkataa waziri. Inafikirisha na inasikitisha mtu kutokubali utofauti wa hojaWivu anao mama yako kwa baba yako,no more
Balaaa,nakaziaYule ni msambaa, ni waongo