Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Acheni unafiki. January ana ubright gani? Mtu aliyeiba mtihani ni dhahiri hana uwezo wa akili wa kujitosheleza.Mambo ya nje anakwenda kutoboa vizuri sana.
Kijana yuko bright sana halafu smart sana kwenye masuala hasa yanayoendana na taaluma yake kwa kiasi fulani.
Kwenye wizara hii anakwenda kurekebisha na kufuta madhaifu yake yote yaliyonekana alipokua kwenye wizara nyingine huko nyuma.
wizara hii inakwenda kutia fora this time katika utendaji...