Wizara ya Mambo ya Nje inakwenda kuvurundwa kama Wizara ya Nishati

Acheni unafiki. January ana ubright gani? Mtu aliyeiba mtihani ni dhahiri hana uwezo wa akili wa kujitosheleza.
 
Hamna lolote
 
Tulishasema hapa na tunaendelea kusema January Makamba ni kilaza na sifuri kabisa hawezi kuongoza wizara yoyote kwa ufanisi, Nawashauri CCM Acheni kuweka vilaza na wapumbavu kwenye position kisa tu mtu anavaa shati la CCM Hata kama ni mpumbavu na hana Akili.
 
Acha kupotosha...kuliundwa kamati ya kutathmini utendaji kazi wa Wizara hiyo kabla hata ya uteuzi wa Makamba...anachokwenda kufanyia kazi Mhe. Rais ni Mapendekezo ya Kamati hiyo.
 
Basi tutakubaliana na wewe kimoja kunatatizo mahali
 
Ameshindwa nishati huko ndio hatafanya kitu kabisa.

Huyo jamaa ni failure. Ni wale nchi kama china inawachinja mchana kweupe jua limewaka.
 
Yule jamaa ni failure wa karne.

Hua ana mbwembwe balaa na kujifanya smart sana ila sasa matokeo sifuri.

Nishati amekaa pale 2 years ameshindwa kuacha legacy yoyote. Two good fucken years bila hata megawati 1 ya solar, maji, gesi ama hata kinyesi ama biogas😂.

Kila siku mlimani city na media za kutosha lakini umeme hakuna.

Sasa kaemda wizara ya nje huko ndio ataharibu sio muda mrefu.
 
Usmart wake aliwahi kuuonyesha kwenye nini ?
 
Acha kupotosha...kuliundwa kamati ya kutathmini utendaji kazi wa Wizara hiyo kabla hata ya uteuzi wa Makamba...anachokwenda kufanyia kazi Mhe. Rais ni Mapendekezo ya Kamati hiyo.
Eti kamati, pathetic
 
Hiki ndicho watanzania tunakiweza. Majungu na fitina za kipumbavu.

Tuliweza kuelewa kwamba Makamba alizidiwa na wizara ya nishati, haupo uwezekano hii wizara ya mambo ya nje ikamshinda.

Hao wanaodhani wanaweza kuongoza ni watupu tu wanadhani kelele zao za JF ndio uwezo halisi wa kuongoza.
 
Hakuna u bright wowote ule angekuwa bright tusingelikuwa tunalia na umeme hadi leo…alianzisha tatizo la umeme na kakimbia ana kwenda kuanzisha tatizo lingine!

Hivi kwanini January awezi kufika sehemu akafanya kazi na wenzie alio wakuta na wakarekebisha na mambo yakaenda? Kwanini kila anapokwenda anataka kupavuruga na kufukuzisha watu kazi? Hii ni laana inayo muandama kila anapokwenda?

Kwanini yeye si tatizo bali anao wakuta ndiyo kila wakati liwe tatizo?
Kwanini huwa ana beba majina ya watu kila anapokwenda?
 
Afaddhalli sana umebaini tatizo na kasoro za huyu bwana japo kwa kiasi fulani,
nami nakiri kwamba hata wewe ni smart na hodari unafatilia mambo na watu na kupima kwa umakini mkubwa jinsi wanavyoshirikiana na wengine kusongesha mambo, na hiyo ni kazi mzuri sana unafanya, nakuunga mkono.

Naendelea kusisitiza huyu kijana ni bright na smart sana kwenye kuplan, kuorganize, kutekeleza, kuevaluate na kuanalyze mambo,

Shida yake kubwa, ukiachana na hizo ulizobainisha wewe ni Overconfidence kupindukia, speed na kasi ya kuona results haraka iwezekanavyo, kitu ambacho wasaidizi wake wanashindwa kwenda nae kutokana na either mazoea ya kazi au kutokumuelewa nakadhalika nakadhalika, nakadhalika.

Hata hivyo,madhaifu hayo yanarekebishika na ndio maana nina matumaini kwamba pale mambo ya nje kutatokea ufanisi wa viwango vya juu sana chini yake,

Let's wait and see....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…