Wizara ya Mambo ya Nje inakwenda kuvurundwa kama Wizara ya Nishati

Akili yako kisoda, hivi madhira aliyoyafanya Nishati unataka pia yatokee mambo ya nje kisha Biteko awe anakwenda kusahihisha?
Sasa bwana the tallest, akili yangu kisoda namna gani?! Kwani sijui, sielewi au simjui huyo mlengwa hapo?! Wewe unanijua mimi vizuri mpaka unazungumza maneno ya namna hiyo dhidi yangu?!

Nilichokisema ni kweli au si kweli?! Avuruge, asivuruge ataendelea kuwepo na anaweza kufika mbali zaidi na mtabaki mkilalama tu bila msaada wowote 😀👍🏾
 
Kwamba huamini kabisa Mtu mmoja anaweza kuyumbisha serikali?
Katafakari upya.
 
Kwahiyo anaenda kuvuruga nini, kwenye nyanja ipi, au anaenda kuvuruga uhusiano na nchi zipi?
Yaani nyinyi walugaluga mnalopoka tu, halafu unaishi kata ya itungule, na wizara ya mambo ya nje, wapi na wapi?
Utajua hujui huyo ana nuksi mbaya sana,angalia alivyoharibu Nishati hasa umeme
 
Ficha upumbavu wako
 
February ni mwanasiasa mwenye uwezo mkubwa ambaye anafaa hata kuwa rais wa nchi hii na wizara hii anaenda kufanya mambo makubwa. Kwenye wizara ya nishati alishindwa na alifanya madudu, Kama sio visasi ndani ya ccm kalemani angerudishwa amalizie kazi aliyoianza
 
Hata kutia fora kwa wizi ni utendaji vilevile!
 
Mwacheni kipara apumzike
. Sindano za Tanesco bado zinauma
 
Hujitambui hata kidogo
 
Punguani wahed.
 
Una shida kubwa sana upstair, unapata wapi uthubutu wa kuandika upumbavu kama huu.
 
Matumbaku mabaya sana,hudhuru afya
 
Taka taka
 
Na ilikuwaje Magu akamtema wizara ya Muungano na Mazingira? Usilalamike sana Ndugu hakuna mwenye wivu na mtu, watu wanajaribu kutoa madukuduku yao kutokana utendaji mbovu wa huyo unayemuita kijana.
 
Nyie chawa wa huyu jamaa,hivi nchi hii imekosa watu smart hadi umtambulishe huyu aliyeua Tanesco na wizara ya nishati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…