Wizara ya Mambo ya Nje inakwenda kuvurundwa kama Wizara ya Nishati

Ww ni miongoni wa staff hapo ndio umeanza kupagawa kizimkazi kapafumue tu. Kwisha Habari yenu. Mbona hukusema wakati mambo haya bado. Takataka kabisa ww
 
Hapana. Makamba kafanya vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Kwa Nishati kweli hakufanya vizuri ila Mambo ya Nje amepatakatisha sana
 
Kama nabii VILEEE!
🤣😅😆
 
Hapana. Makamba kafanya vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Kwa Nishati kweli hakufanya vizuri ila Mambo ya Nje amepatakatisha sana
Yan we uko huku kutetea uozo mtupu ungesoma Uzi wangu kabla mods hawajaufuta
Ndo ungeelewa vijana hao si waaminifu

NSSF Pesa zake zinajengaje jengo la nje ya nchi ?

Mengine nikiendelea kuyaweka ntapigwa ban!
Waziri unakuwaje na dollar burungutu Kwako unagawa gawa umezitoa wapi

Sitaki kuongelea jambo la yeye kutaka madaraka Ila mnajiaibisha bure tu kutetea ujinga


Britanicca
 
Kwani mpango aa kujenga jengo la nje ya nchi kaanzisha yeye? Si alianzisha Magufuli?

Baraza la Mawaziri halikuridhia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…